ORODHA YA VITABU VYA FASIHI NA WAANDISHI WAKE 1
-
Upload
independent -
Category
Documents
-
view
0 -
download
0
Transcript of ORODHA YA VITABU VYA FASIHI NA WAANDISHI WAKE 1
ORODHA YA VITABU VYA FASIHI NA WAANDISHI WAKE HADITHI FUPI
S/N MWANDISHI JINA LAKITABU MCHAPISHAJI MWAKA DHAMIRA
1
Abdallah Khalfani
Mfalme Ndevu Na Mmaskini Mkata Kuni
Readit books 1995 Dhullma,urasim na tama
2
Abed, Mehta Anaona anasikia
Methews books store and stationaries
2003 Mathara ya ukimwi
3
ABED,Mehta Mtego kabambe
Methews Books store and stationary
2003 Elimu na mafunzo
4
AMIR Alli Jamaadar
Hadithi zenye mafunzo
Oxford university press
1973 Elimu mafunzo maadili
5
Arnott,K Ayo msichana wa kiafrika
Oxford University press
1967 Upendo
6
Athuman Abbasi
Kuku njiwa kicheche na hadithi nyingine
Readits books
1996 Maadili
7 Backman,P.J Hekaya zamjini
Ndanda Mission press
1974 Mawaidha mbalimbali ya kiroho
nakimwili,Upendo na uvumilivu
8Baitu Richard
Mkia wa chura
LDS PABLISHER
2002 Umoja haki na upendo
9
Balisdya Ndyanayo
Ushindi wa majeruhi na hadithi nyingine
DUP 1994 Matatizo ktkmaisha
10
Banzi ALEX Tamaa mbele na hadithi na hadithi nyingine
NMP 1970 Uchumi wa utajiri,athari ya tama uchoyo na urafi
11
Bata,A.A. Chatu Ndanda mission press
1983 Ukinzani ktkmaelezi baina ya ukristo na uislam,Mpenzi kabla ya ndoa
12
Bwana Jems,H
Mganga pazi
Heko pablisher
1991 Ulaghai katika kupata mali
13Chiraghdin,C
Malapa wa mvita
OUP 1974 Ukombozi
14
Chmbila,M.D Neema jasiri
DUP 2005 Moyo wa kujituma,ujsiri na upendo
15
Chowo H,T Kisa cha kuku na mwewe
MPB enterprisis
2005 Usikivu
16
Chuma,A Fadhili msiri wa naugua
TPH 1980 Mila na jadi
17Chuma,A Gongo la
ummaStar Agencies LTD
1980 Harakati za ukombozi
18
Chuma,A,K Kunga za kiswahili
CHEWATA 1980 Mapenzi na ndoa,Tathmini ya elimu
19
Chwo,H.T Kipepeo amnusuru binadam
MBP enterpresis
2004 Huruma,Upendo na maadili
20
Dira,D,E Sultani liyegeukakorongo na hadithi nyingine
The Sheldon press
1952 Hekaya mbalimbali za binaadam ba ubinadamuwao,Na matatizo mengine yakupendeza na kustaajabisha
21
Diwai Ramadhani
Shinikizola fedha
Tanzania Book Club
1996 Mattizo ya urithi ktk familia
22
Djoreto,Amu Mwezi aliye mwoga
Heineman publication
1992 Maonyo kwa jamii
23Djoreto,Amu Mapacha
MatataniHeinemann Publication
1991 Upendo,umojana dhuluma.
24Ganzel,E Kitanzi Utamaduni
Publication1984 Upelelezi
25
Getanguthi,E,N
Aliyebebachatu na hadithi nyingine
OUP 1987 Miila,miiko,uaminifu na juhudi
26
Habibu Mbaruku
Koroingona kobe
MBP ENTER PRISISE
Umuhimu wa umoja na kutenda mema
27
Haji,g.Haji Nahodha Chui
Oxford university press
2004 Ujasiri
28
Juma Shabani Alli
Kisa cha binadamu na Wanyama
Rafiki Publishers Ltd
2005 Upendo,Huruma na juhudi.
29
KAMERA,W,D na wenzake
Hadithi za wiraqwi wa Tanzania
EALB 1978 Mila na tamaduni za makabira ya Tanzania
30
Kamera,W.D Na wenzake
Si watu? OUP 1989 Ukweli,Upendo na ushirikiano
31
Kamera.W.D na wenzake
Elimu kwangano
Maarifa cooperation DSM
1982 Visa na hekaya kuhusu tamaduni ya kiafrika na faida za ngano hizo kwa kizazi cha leo
32Kamoro yuda Usininyon
geLong man 1970 Unyonyaji
33
Kana,joachim
Masimulizi ya sebuleni
TMP book department
1970 Mafunzo na kazi
34
Karago T Kisa cha nyuki na Tembo
TPH 1979 Unafki na uchonganishi
35
Karago,T Kisa cha mzee wa kizaramo na mototowa wenzie
TPH 1979 Tibia njema na msingi wamaisha
36
Karago,T Ugomvi wapanzi furaha kwa kuguru
TPH 1979 Tahadhari ktk maisha
37
Karago,T, Hadithi zenye hekima namaadili
TPH 1979 MAADILI MEMA
38
Katama bairu
Sokoni kariako
Tamtam book club
1996 Matatizo ya mjini kwa wageni
39Kezilahabi,E
Kijana yule
DUP 1991 Umuhimu wa elimu
40
Kimaro,Jerome
Safari yaMAMA
Tema Ppblisher LTD
2000 Malezim kwa watoto na upendo
41
Kitalambula,F,H
Lawalawa na hadithi nyingine
Premier publishers
1976 Utamaduni mafunzo na malezi
42
Mahimbili,Renatusi
Jumanne moja kando ya mto
Heinemann drum publishers
1996 Uharibifu wamazingira,Umasikini na elimu
43
Mahimbili.Renatus
Bibi mwenye macho mekundu
Ruvu publishers
2005 Uchawi na ushirikina
44
Mchana.A,E Marafiki wawili
Mtulre educational publisher
2002 Uaminifu umoja na ukweli
45
Mkufya,W,E Mbuzi waliokosasubira
Mangrove publisher
2003 Utii na tama
46
Mkufya,W,E Tumbili na Mkia Wake
2003 Tamaa na ushirikiano
47
Mkufya,W,E Mtawa wa binti wa mfalme
Ruvu publishers
1999 Kutunza mazingira
48Mkufya.W,E Androbo
na sambaMture publishers
1998 Kulipa fadhila
49 Mlingwa,F,E Haki Longman 1972 Dhulima
itatawaladunia
tumaini na ukweli
50Mlingwa.F,E Kuwa
uyaoneTanzania Litho LTD
1971 Elimu maonyona maadili
51
Mng’anda,B,S
Shukrani za samba
READIT BOOKS 1992 Kutodhani utu na kutoashukrani
52Mnyaka Onge Nani kama Heko
publishers2003 Kjitegemea
na kujituma
53Mohamoud Rahman
Malki mroho
Ruvu publishers
2004 Uchoyo urafina maadili
54Msewa,O Kifo cha
ugeniniTPH 1974 Haraka za
ukombozi
55Msokile,M Cha
mnyongeTUKI 1974 Dhulma na
unyonyaji
56
Msokile,M Nyota TUKI 1974 Athari ya uhuru usiokuwa na mipaka
57Msokile,M KIUMBE TUKI 19741 Athari za
kutoa mamba
58Msokile.M Ukungu TUKI 1974 Msimamo wa
maisha
59
Mwaipyana Albert
Simu ya mwanamwali
Methews Bookstore and stationary
2003 Umuhimu wa mawasiliano na maadili mema
60
Mwanga Mngedia.A
Mti uliozungumza
Ruvu publishers
1996 Malezi maadili na upendo
61
Rashid .M,K.Longido
Wawindajiwatatu
UOP 2004 Uchoyo Dhulma na tama
62Rashid ALLI,M
Sungura na Mbweha
OUP 2004 Ujasiri na ujanja
63
Rashid Alli,M
Safari yaHamadi
UOP 2004 Utukutu kwa watoto na elimu kwa watoto
64Safari,A Kabwela DUP 1978 Sasa na
uchumi
65
Sealay.Patricia
Mjuzi aliyemzunguka
Heinmann publishers
1995 Maadili mem,a na heshima
66
Seka,B.R Kipeuo nakipeo
Kapsel educational publishers LTD
2002 Kujifunza hesabu
67
Selengwa,L,S
Yowe la majuto
Ndanda jmission press
1981 Uaminifu ktkmapenzi na ndoa pamoja na tama ktk maisha
68
Semkiwa.D Mazungumzo ya babuzetu
OUP 1974 Mila na destuli za makabila ya Tanzania
69Shaabani,K Siri ya
bahatiBSA LTD 1995 Ndota za
wanaadam
70
Shija Paschal
Njiwa na kinda mkaidi
TBH 1994 Adhali ya ukaidi kutosikia yawakuu
71
Siedle,A,S Paulo na kalumanzila
T,M.O.book department (Tabora)
1980 Mafunzo ya dini ya kikristo
72
Singija,D Kukopa harusi kulipa matanga
Ndanda mission press
1975 Matatizo yanayo ikabili jamii kama vile umasikini,uhaminifun ktkkukopa na kulipa.
73 Tawakal,Alhaji
Hadithi zenye hekime na
TPH 1979 Madili mema na malezi
maadili
74Thonya,Z,N Mashairi
ni mtegoBSA LTD 1978 Maisha yenye
msukosuko
75
Yahaya.S.S Pepeta Kenya Litho LTD
1971 Ujasili uzalendo na maisha ya mwafrika
76
RwechunguraG
Masimulizi ya Wahenga
Print park Tanzani Ltd
1972 Umoja mafunzo na maadili.
76
Rawah F S Zimwi la mrima
Diamond DistributorsServices
1951 Uvamizi wa wakoloni Afrika na harakati za ukombozi wa Kisiasa
77Omalo L. O Kisa cha
HarusiLongman 1968 Vita
78
Omari C A Shariff
Isa Bin Tajiri naHadithi nyingine
High Way Press Nairobi
1949 Hekaya mbalimbali za maisha yaumwinyi barani Afrika hasa pwni ya Afrika mashariki
79
Richard Deus M
Mbegu ya Ajabu
Mwnza Business Association
1997 Umoja na uadilifu
80
Ruhumbika G Uwike usiwike kutakucha.
Eastern Africa Publication
1978 Ukombozi dhidi ya dhuluma
81
Ruhumbika G Wali wa ndevu na hadithi nyingine
Parapanda 1982 Ujenzi wa jamii mpya.
82 Riwa R L Hadithi The Eagle 1951 Mila na
za rafikisaba
Press Nairobi
Desturi za Makabila ya Tanganyika
83
Omari C A Shariff
Hassan ElBasir
The Eagle Press Nairobi
1951 Mawaidha juuya upendo naAmanikatika maisha ya binadamu
84
Omari C.K Hadithi zbibi
Print Park Tanzania Ltd
1970 Wosia kwa jamii kutokakwa wazee
85
Ogejo S. C Mwindaji hodari
HEB 1974 . Mbinu za uwindaji na ujasiri
86
Nuru S. N Ndoa ya mzimuni
EALB 1974 Mapenzi ya dhati, uovu pamoja na dhuluma
87
Ngole S. Y Fasihi Simulizi ya Kitanzania
TUKI 1977 Mkusanyo wa hadithi zenye mawaidha ya kimalezi kwavijana chipukizi.
88
Ng’ombo N Hekaheka za Ulanguzi
Ndanda mission Press
1982 Matatizo yaliyolikumba Azimio la Arusha.
89
Nyalusia G.P
Kisa cha mwanamke mjane
Ndanda mission Press
1984 Jitihada mbalimbali za ukombozi wa wanawake
90Nyabongo A Upepo wa
mwangazaEALB 1974 Upendo na
maadili
91
Ngalime JANI
Umoja ni nguvu
Mangrove Publishers
2005 Ushirikiano na umoja katika jamii
92 Mohamed Kcheko Shungwaya 1978 Wawaidha
M.S cha ushindi
mema na malezi kwa vijana.
93
Mdoe. C Kilemba cha Ukoka.
Grand arts Promotions
1984 Athari za uwongo na Unafiki katika mapenzi.
94
Mkwindu T.S Nimekugundua
Ndanda mission Press
1972 Madhara ya ujamaa Afrika.
95
Mbawala A 1992 Mapenzi na Majonzi katika Maisha.
96
Mbwali L. A Kisa mke Ndanda mission Press
1984 Madhara ya kupenda na kuendekeza ngono,utengano na Maradhi.
97
Mandao M Musa Central Tanganyika Press
1968 Ukarimu na Upendo
98
Mbena I,S Ujamaa utafaulu
Black Star Agency
1978 Vijiji vya ujamaa na uongozi mbaya
99
Muamba B .M Visa vya Maadili
Ndanda mission Press
1984 Nukuu za ngano za makabila mf,wayao na Kimakua.
100Mdoe Fred J Hila za
kobeCoulor PrintLtd
1969 Mafunzo kwa jamii
101
Mwonge E.G.C
Wosia wa baba
EALB 1962 Maadili ya wazee kwa vijana
102 Makunja G. Tha za Ndanda 1981 Unyonyaji na
C Mjini Interprises Ltd Tanzania
unyanyasaji
103
Mnyapala Bernard
Cheo dhamana
EAPH 1976 Utumishi mzuri wa jamii kwa kuthamini cheo.
104
Mayego P.B Watembelea Mbuga
MPB Interprises
2003 Utunzaji wa mazingira maadili na udadisi
105
Mohamed , Amina A
Paka asiyependa Maziwa
OUP 2004 Utukutu na Elimu kwa watoto.
106
Mbiro (na wernzake)
Hila za bwana simba
Ndanda Interprises Ltd Tanzania
1998 Uchoyo, Urafi na Wivu.
107
Mng’anda B.S
Shukuraniza Simba
Readit Books 1992 Kutothamini utu na kutoashukurani.
108
Nahodha Fikirini
Oxford University Press
1971 Ujasiri na ushujaa.
109.
Lema Elieshi
Mwendo E and D Ltd 1998 Athari za UKIMWI
110.
Safari yaProspa
E and D Ltd 1995 Werevu, ushujaa na Ujasiri
USHAIRI
1
Abeid Amir.K
Sheria zakutunga mashairi nadiwani ya Amir
EALB 1954 Mawaidha mema na maadiri ktkmaisha
2
Akilimali.K.H.A(Snowwhite)
Diwani yaAkilimali
EALB 1966 Mawaidha mema na maadili mbalimbali kama vile wema na upendo
3
Alen .J.W.T
Utenzi wamwanakupona
HEB 1972 Maadili mema na wosia juu ya wanawakewa Pwani naAfrika Mashariki
4
Alen.J.W.T Ushindi wa ngamia
HEB 1972 Mila na desturi mbalimbali za kitanzania na Ngano nyingine
5
Amir Mwinyi.M
Tungo zetu
TPH 1977 Mawaidha naburudani bora ktk maisha
6
Bashir Aboud(M.H)
Utenzi wamikidadi na Mayasa
HEB 1972 Habari za maisha kuhusa mashujaa wawili Mikidadi naMayasa
7
Chacha.N.Chacha
Ushairi wa AbdilatifAbdallah,Sauti ya utetezi
DUP 1992 Ukombozi wakisiasa
8
Chum Haji Utenzi wavita vya uhud
EALB 1962 Vita vya waislam na Mayahudi waMakkah
9
Coronationprinters Mbombasa
Utenzi wamaisha yanabii Mohammedi
Coronation printers Mombasa
1962 Historia yamtume Mohammad (SAW)
10
Cory.Hans Sikilizeni mashairi
Lake printing works LTD Mwanza
1961 Upendo,Amani na ushirikiano
11
Faqihi Mgeni
Utenzi warasi -lghuli
TPH 1979 Mgongano kati ya mila na destuli za kiislam na za kale huko Saud-arabia
12 Frenk Wiliam
Diwani yangu
KLB 1979 Mawaidha mbalimbali ya kijamii kama vile siasa safi,adabu,
heshima na upendo
13
Hajji.G,Hajji
Kimbunga TUKI 1995 Siasa, uchumi rushwa na Utamaduni
14
Harries.L Utenzi wamkunumbi
EALB 1967 Mawaidha juu ya maonyo mbalimbali
15
Honero.L.N(NAwenzake)
Matunda ya Azimio
TUKI 1980 Uongozi,Usawa na uchumi na ustawi wa jamii
16
International language committee
Mashairi mamboleo 1
The Sheldonpress
1946 Mawaidha juu ya maisha hasawakati wa ukoloni
17
Jamaldin,A.
Utenzi wavita vya majimaji supplement vol.27
IKR 1957 Historiya ya matokeo ya vita vyamajimaji
18
Kahigi.K.K Maisha yakisasa
TPH 1984 Sisa mapenzi na ndoa
19
Kandoro,S,A
Mashairi ya Saadani
Mwananchi publicationLTD
1972 ELIMU SIASANA UCHUMI
20
Kandoro,S,A
Liwazo laujamaa
TPH 1978 Mapigno dhid ya unyonyaji,na mawaidha juu ya siasa ujamaa na kujitegemea
21
Karama,S Utenzi wenye fahari
Macmilan press
1986 Lugha,mafunzo na maadili mema
22
Kezilahabi.E.
Kichomi Heinman Nairobi
1974 Mgogoro wa ushairi,mvutano kati ya ukale nausasa pamoja na ujenzi wa jamii mpya.
23
Kezilahabi.E.
Karibu ndani
DUP 1988 Mgogoro kati ya ukale na usasa,Falsafa ya maisha
24
Khatibu, MS
Fungate la uhuru
Education service center
1988 Uongozi Mbaya
25Khatibu.M.S
Utenzi waukombozi
DUP 1975 Mapenduzi na ukombozi
26
Khatibu.M.S
Pambazuko EAPH 1982 Ujenzi wa jamii mpya na uongozi mbaya
27
Kija.P.M Wimbo wa kandambili
Ndanda mission preaa
1987 Mawaidha yaimani ya kikristo
28
Knepert.J Utenzi wafumo liongo
East AFRICAN KUSWAHILI COMMITEE
1931 Kukua kwa miji ya Africa Mashariki, tama, Usalitna Ushujaa wa Fumo Liongo
29 Lambert.A. Diwani ya EALB 1971 Mapenzi na
E Libert ndoa
30
Lesso.Z.H Utenzi wazinduko la ujama
EALB 1972 Historia fupi ya watanzania kabla ya uhuru,baadaya uhuru,harakati za kujenga ujama
31
Lody,A,A Tafkira Writers book mashine
1986 Huba na siasa
32
Maimbi.E.M Utenzi waccm
TPH 1981 Mazungumzo juu ya kuundwa kwaCCm na harakati zamuamko wa kisiasa Tanzania
33
Masamba.D.P.B
Diwani yaMasamba
NELSON PUBLISHERS(CANADA)
1976 Mawaidha juu ya malezi na tamaduni zakiafrika
34
Mayoka.J.A Utenzi wavita vya uhuru wa Msumbiji
EAP 1978 Harakati z ukombozi Msumbiji
35
Mayoka.J.A mizizi Diwani yaMayoka
TPH 1984 Mawaidha juu ya maadili mema na sanaa ya ushairi w kimapokeo
36 Mbega.Hass Upisho EALB 1974 Mawaidha
ani.Mwalimu
wa malenga
mbalimbali juu ya maisha ya mwanadamu,wema, dhamana na uaminifu katika maisha.
37
Mchimbi.B.R
Wachawi wa Afrika
TANZANIA LIBRARY SERVICE DSM
1979 Mila potofuza kitanzania na ukomboziwa watanzania
38
Mdundo.M.O Utenzi waJWTZ
TPH 1987 Historia,Mapambano na shughuli zajeshi la Wananchi
39
Mhina.G.A Utenzi w kumbukumbu za azimio laArusha
BLACK STAR AGENCY
1979 Mambo yaliyofanyika wakati wa azimio la Arusha
40
Mloka Charles
Diwani yaMloka
BENEDICTINEPUBLICATION
1977 Maadili mema na maoni
41
Mnyampala.M.
Diwani yamnyapala
EALB 1965 Ukoloni mamboleo naumoja
42
Mnyampala.M.
Waadhi waushairi
EALB 1965 Maadili mema na umoja katika jamii
43 Mnyampala.M.
Ngonjera za ukuta 1 na 11
OUP 1970 Harakati mbalimbali za
kulitangazaazimio la Arusha
44
Mnyampala.M.
Sera mbalimbali za kulitangaza azimiola arusha
OUP 1971 Sera mbalimbali za kulitangazaazimio la Arusha.
45
Mnyampala.M.
Fasiri johari yamaisha
TANGANYIKA RIPUBLICATION
1964 Mawaidha juu ya historia yaushairi na utakiwavyo uwe
46
Mochiwa,Z Mvumilivuhula mbivu
DUP 1988 Jinsi subira na uvumilivu wa wnanchi unavyorudisha nyuma maendeleo yao
47
Muhamed..Salehe
Utenzi waego lenyeitifaki
EALB 1974 Mawaidha yakidini n waosia badaya kifo
48
Muhamed.A.A
Ujenzi w misha ya nabii adamu na Hawa
EAST AFRICAN SWAHILI COMETEE
1971 Kisa cha maisha ya Adam na Hawpamoja na chanzo ch dhambi kwa wanaad
49 Muhamed.A.A na UKKI.M.J
Utenzi wasungura ,turuke daraja tatu kwa
OUP 1996 Umoja na mshikamano. Katika hrakati yeyote ya
kujifunzalugha yetu
kujikomboa.
50
Muhanika,H.
Utenzi wavita vya Kagera naanguko laIdd Amin
DUP 1981 Ukombozi wawatanzania na matatizoya vita vyaKagera
51
Mulokozi.M,M
Malenga wa bara
DUP 1995 Falsafa na maana ya maisha,kifo,mapenzi naujenzi wa jamii mpya
52
Mulokozi.M.M
Utenzi wanyakiiru Kibi
ECOL PUBLICATIONLTD
1997 Mila na desturi za Watanzania
53
Mulokozi.M.MKahigi.K.K
Kungo za mashairi na Diwaniyetu
TPH 1979 Siasa,ndoa na falsafa katika Maisha.
54Mvungi.T. Chungu
tamuTPH 1985 Ujenzi wa
jamii mpya
55
Mvungi.T. Mashairi ya cheka cheka
EPD LIMITED 1995 Ujenzi wa jamii mpya
56
Mvungi.T. Raha karaha
CONTINENTALPUBLISHER
1982 Utetezi wa haki za wanyonge
57
Mvungi.T. Dawa mirefu
KIUTA 1977 Mardhi na magonjwa yasiyo tibika.
58
Mwalimu.A.Rashidi
Utenzi waKunguru
E AND D LTD 2005 Athari za uigaji mambo kutoka nje
59 Mwaruka,R Utenzi waJamuhuri
EAPH 1968 Historia yaTanganyika
ya Tanganyika
toka enzi za mwarabu
60
Nassiri. A Malenga wa mvita
SHUNGWAYA PUBamuLISHERS LTD
1977 Maisha ya amani madili na mafunzo
61
Noor.I Utenzi(Utenzi wa kiama)
HEINMAN BOOKS NAIROBI
1972 Mawaidha mbalimbali ya siku ya hukumu.
62
Nuru.S.M Malangomwa kiswahili
EALB 1975 Kukua kwa Kiswahili na tamaduniza waswahili
63
Nyamume.K.A
Diwani yaustadhi nyamaume
SHUNGWAYA PUBLISHERS LTD
1976 Maadili mema katikamaisha
64
Nyerere.J.K
Utenzi wamatendo ya mtume
NMP 1996 Maadili na matumaini katika maisha
65
Nyerere.J.K
Utenzi wainjili
NMP 1996 Mawaidha mbalimbali juu ya imani ya dini ya kikristo kuhusu miujiza ya Yesu kristo
66
Okot,P.Bitek
Wimbo wa Lawino
TPH 1975 Utamaduni wa kiafrikana dawa za jadi.
67 Omary.C.K Usawa wa binaadamu
EASTERN AFRICAN PUBLISHERS
1976 Falsafa juuya maana yausawa wa
LTD binaadamu,faida zake,pamojana athari za kukosekna kwake.
68
Ridhiwani.P
Kisa cha utenzi tawafuri nabii
TUKI 1992 Siasa na mapinduzi
69
Robert.S Pambo la lugha
EASTERN AFRICAN PUBLISHERS LTD
1947 Maadili katika maisha na sanaa za lugha
70
Robert.S Koja la lugha
NELSON 1945 Maadili katika maiha ,maonyo n malumbano
71Robert.S Mwaafrika
aimbaNELSON 1946 Uzalendo na
malumbano
72Robert.S Almasi za
AfrikaNELSON 1946 Malumbano
na maadili
73
Robert.S Ashiki kitabu hiki
NELSON 1946
74
Robert.S Masomo yenye adili
NELSON 1967 Maadili na maonyo
75
Robert.S Diwani yashaabani Robert
NELSON 1968 Maadili na maonyo
76
Robert.S Kielelezocha fasili
NELSON 1968 Maadili,maonyo na maana ya mapenzi
77 Robert.S Mapenzi EVANS 1970 Maadili
bora BROTHERS LTD
78Robert.S Sanaa ya
ushairiNELSON 1972 Uzuri wa
ushairi
79
Robert.S Utu bora EASTERN AFRICAN PUBLISHERS LTD
1971 Umuhimu wa kilimo kamauti wa mgongo n uchumi wa Tanzania
80
Robert.S Insah na Mashiri.
NELSON 1967 Mawaidha namaadili mema
81
Robert.S Utenzi wavita vya uhuru
OUP-NAIROBI 1967 Ukombozi wakisiasa
82
Robert.S Siku ya watenzi wote
EVANS BROTHERS
1992 Sanaa,Wasanii,umoja namshikmano.
83Salehe.A.A Changamka A.K.KHANA
PRESS LTD1988 Demokrasia
84
Sayyid,A.A.N
Al-Inkishaf
UOP-NAIROBI 1972 Kukua na kuanguka kwa miji yaPwani ya Afrika ya mashairiki na falsafa ya maisha.
85
Sayyid,A.A.N
Utenzi waAbdulrahman sufiani
EALB 1961 Historia yaAbdulrahmanSufiyani.
86
Sayyid.A.A.N
Utenzi wakadhi Qassim Bin Jaafar
TUKI 1972 Fitina na maadili;
87 Sengo.T.S. Maisha y EAST 1979 Mawaidha
Y mwezi wa ramadhani
AFRICAN PUBLICATION
juu ya diniya kiislam katika mwezi wa ramadhni.
88
Shirika lauchapishaji wa lughaza kigeni
Ukuta mkuu wa kasri ya mfalme
SHIRIKA LA UCHAPISHAJIWA LUGHA ZAKIGENI (BEIGING)
1990 Marudi na mawaidha mema.
89
Simganga.F Teuzi za nafsi
TUKI 1971 Ukombozi wawanaonyonywa,Dini,maadili mema ppamoja n uzalendo.
90
Somba.S Uwanja wamashairi
LONGMAN 1996 Sheria na kanuni za uaandishi wa mashairi.Umoja na Mshikamano
91
Stika.R.K Lugha ya mamba
FORFATTARES-BOKMASKIN(UPPSALA)
1985 Mapenzi nz ndoa.
92
Sudi.A.A (Andanenga)
Diwani yaustadhi
BENEDICTINEPUBLISHERS
1993 Siasa, elimu,uzalendo na uchumi.
93
Sudi.A.A (Andanenga)
Bahari yaelimu ya ushairi
BENEDICTINEPUBLISHERS
2002 Upana wa fani ya ushairi na umoja.
94
Takiluki Malenga wapya
KITUO CHA EWW,MBWENI DSM
1997 Maswala ya uchumi, kilimo,Ukombozi.
95
Zakwany.A.S
Diwani yajinamizi
EALB 1970 Maadili mema siasa na kilimo.
96 A,Abdallah Mashairi ya miaka kumi ya azimio laarusha
UKUTA 1977 Umuhimu wa qzimio l Arusha
97 E,KIZILAHABI
Kichomi HEANMAN EDUCATION BOOK(EA)LTD
1974 Maisha,siasa na uchumipamoja na nyanja nyingine
98 Shaaban Robart
Malenga wa bara
EALB NAROBI 1979 Ujenzi wa jamii mpya
99 Zakariya Mochiwa
Uvumilivuhula mbivu
D,SALAAM UNIVERSITY PRESS
1981 UVUMILIVU UNAMWISHO
Salim S.KIBAO
Utenzi wauhuru wa kenya
Oxford university press
1972 UMUHIMU WA KUPIGANIA UHURU
TAMTHILIYA
S/N MWANDISHI JINA LAKITABU MCHAPISHAJI MWAKA DHAMIRA
1
Boukheit Amina
Maalim TPH 1980 Mikinzano ndani ya Dini na Maisha ya kila siku
2Shungwaya publishers
1977 Ujenzi wa Jamii mpya.
3Boukheit Amina
Zabibu Chungu
IUP 1985 Mila na Desturi
4
Chacha C N Mke mwenza
Heinemann Publishers
1982 Matatizo ya mitaara na Wivu katika Jamii
5
Chimera R M Mnara wawaka moto
NUP Nairobi 1998 Uhalifu,uovuna fitina.
6
Chogo Angelina
Wala mbivu
EALB 1974 Ukombozi wa Kiutamaduni na suala la Elimu
7Fawah F Zimwi la
MrimaDiamond Publication
1991 Dhuluma na uonevu
8
Ganzel E Ndoto ya mwendawazimu.
EALB 1972 Umasikini
9Hussein E Kinjekiti
leOUP 1969 Ukombozi wa
Kisiasa
10Hussein E Mila na
desturiOUP 1971 Mila na
desturi
11Hussein E Mashetani OUP 1976 Mapinduzi ya
Kifikra
12Hussein E Arusi OUP 1980 Mila na
desturi
13
Hussein E Wakati Ukuta
OUP 1970 Mgogoro katiya ukale na usasa
14
Hussein E Kwenye Ukingo waThim
OUP 1998 Ukombozi wa Kiutamaduni,Ndoa na Malezi
15
Hussein E Alikiona HEB 1972 Athari za fitin na uongo katikajamii
16
Hussein E Jogoo Kijijini na Ngao ya Jadi
OUP 1976 Harakati za ukombozi
17
Hyslop G Afadhali Mchawi
EALB Nairobi 1957 Mila na Tamaduni za Kiafrika suala la Mapenzi na ndoa
18
Jilala H Giza Angaza initiative Cooperation Ltd
2004 UKIMWI
19Kaduma G Z Dhamana
MabatiniTPH 1980
20 KAHIGI K.K Mwanzo wa TPH 1975 Matabaka
[na wenzke] Tufani
21
Kangula, L Kung’ala
Heko KuanzishaChama
OUP 1977 Uhuru wa watu na uchaguzi wa viongozi
22
Kezilahabi E
Kaptula la Marx
DUP 1996 Utawala wa Kiitikadi hasa wa mafunzo ya Usoshalisti na Ubepari.
23
Kiimbila J,Saadan Kandoro
Ubeberu Utashindwa na Mashairi ya PSaadan
TUKI 1971 Harakati za ukombozi dhidi y Ubeberu
24
Kithaka wa Mberia
Kifo Kisimani
Marimba Publication
2001 Usaliti na Harakati za Ukombozi.
25
Kulia H NakupendaLakini
OUP 1957 Malezi,Mapenzi na ndoa katika Jamii.
26
Lihamba Amandina
Hawala yaFedha
TPH Matabaka ,Urasimu katikaOfisi za Serikali
27
Lihamba Amandina
Mkutano wa pili wa Ndege
DUP 1992 Unyonyaji ,Ujinga na Unyanyasaji
28Luganda Majira ya
UkameEALB 1976 Imani za
Jadi
29
Malima V M Uchafu Ndanda Mission Press
1983 Vita uharifuna harakati za Ukombozi
30 Mariam S M Mpaka lini?
Angaza initiative Co.Ltd
2004 Madhara ya Rushwa,UKIMWI na
Udanganyifu.
31
Mazrui ALLY Kilio chaHaki
Longman 1981 Mapambano dhidi ya Udhalimu
32
Mbogo E Tone la mwisho
DUPEducational service centre Ltd
1981 Harakati za Ukombozi, Usaliti na Udhalimu
33
Mbogo E Ngoma ya Ngwanamalundi
TPH 1988 Unyonyaji Dhuluma na Ushirikina
34
Mbogo E Giza limeingia
DUP 1980 Unyonyaji Mbaya na Hali ngumu ya maisha mjini
35
Mbogo E Morani OUP 1993 Hujuma na Ubadhirifu,Haki na Moyo wa Uzlendo
36
Mbonde J B Bwana Mkubwa
TranssafricaPublishers
1974 Jitihada za wazalendo kupiga vita Ukoloni mkongwe,Mambo leo na aina zote zaUnyonyaji
37
Medical aidFoundation
Kilio chetu
TPH 1992 Malezi kwa Vijana hsusani wazazi kuvunja ukimya juu ya swala la Mapenzi.
38 Mghanga A Kilio chaJesca
Angaza initiative Co. Ltd
2004 UKIMWI,Unyanyasaji wa Kijinsia na
Mila potofu.
39
Mhanika H Njia panda
DUP 1981 Uchawi itikadi na Uganga wa Jadi
40Mnyampala M Kila
siyesikiaDUP 1997 Ubaguzi
41
Mochiwa Z S Hubaki TUKI 1977 Mimba ne ya ndoa na athari zake
42
Mohamed S A Kivuli kinaishi
OUP 1990 Ujenzi wa jamii mpya Kujitoa Mhanga , Uchawi na Ushirikina
43
Mohamed S A Kitumbua kimeingiamchanga
OUP 2000 Migogoro itokanayo namatabaka Uongozi mbaya na Athari zake katika Jamii.
44
Mohamed S A Amezidi EAPH Nairobi 1995 Mawaidha na Marudi mbalimbali
45
Mtande P K Masimulizi ya kazikatika kijiji chetu.
Litho Arusha 1970 Umuhimu wa kazi,bidii,kujituma.Ukombozi wa Kiuchumi
46
Muba M M Hukoo Darisalama
TPH 1980 Umuhimu wa kazi
47 Muhando p Lina Ubani
DUP 1984 Uzembe kazini na Athari za vita vya
Kagera
48
Muhando p Hatia EAPH 1972 Nafasi za Mwanamke na Ujenzi wa Jamii mpya
49
Muhando p Heshima yangu
EAPH Migogoro ya Kijamii hasakatika swalala Mapenzi
50
Muhando p Pambo Swala Publications
1975 Harakati za Ukombozi hsusani ukoloni mkongwe pamoja na mila na desturi za Kitanzania matatizo yanayowakabili wasomi.
51
Muhando p Tambueni Haki zetu
TPH 1975 Harakati za Ukombozi hsusani ukoloni mkongwe pamoja na mila na desturi za Kitanzania.
52
Muhando p Nguo za mama
DUP 1982 Migogoro baina ya wanawake na harakati za ukombozi wa wanawake.
53 Muhando p Taraka siMke wangu
DUP 1977 Matatizo katika maisha na
kuvunjika kwa Ndoa.
54
Muhando p Lihamba na Balisidya NM
Harakati za Ukombozi
TPH 1980 Ukombozi
55
Mulokozi M M
Mkwawa naUhehe
DUP 1988 Ushujaa na Ujasiri wa Mkwawa.
56
Mushi,S S [Msafiri]
Mfalme Edipode
OUP 1971 Tofauti katiya uwezo wa Kiungu na wakibinadamu
57
Mwiru M S Mpaka lini?
Angaza Initiative Co.Ltd
2004 Athari za Ajira za Watoto
58Ndimara Tegamwage.
Duka la Kaya
Tausi Publishers
1985 Uhujumu uchumi
59Ngakimecha Ngahyoma
Kijiji chetu.
TPH 1985 Uongozi Mbaya
60Ngakimecha Ngahyoma
HUKA TPH 1973 Mila na Desturi
61
Ngli Mwanyengela
Mwana taabu n Michezo mingine.
EALB 1974 Umuhimu wa Uvumilivu katika Ndoa
62
Ngozi I Ushuhuda wa Mifupa.
Inter-Press Tanzania Ltd
1990 Mmomonyokowamaadili na Athari za UKIMWI katika Jamii
63Ngozi I Mahozi ya
MwanamkeTPH 1977 Ukombozi wa
kijinsia.
64
Ngugi G Nimelogwanisiwe naMpenzi
EAPH 1958 Ukombozi wa kiutamaduni Hsusani maswala ya Ndoa.
65 Ngugi wa Mtawa HEB 1970 Ukombozi na
Thiong’o mweusi Mapenzi
66
Ngugi wa Thiong’o na[wanawake]
NitaolewaNikipenda
HEB 1982 Mila na desturi,Matabaka Ndoa naMahusiano
67
Nyambura Mpesha
Kapotei na Lulu
OUP 1985 Umuhimu wa kuwaheshimu wazazi
68
Nyrere J K [msfiri]
Julias Kaizari
DUP-DSM 1969 Mauaji, Mapenzi na habari za Maisha Kifalme.
69
Nyrere J K [msfiri]
Mabepari wa Venis
DUP-DSM 1969 Dhuluma ya Mabepari na Haki
70
Olagoke DO Hakimu mwadilifu
Evn BrothersLtd
1973 Nafasi ya mwanamke katika Jamiina mapambanoyao dhidi yaRushwa
71
Paukwa Theater Group
Chuano DUP 1995 Migogoro katika Jamii.
72
Paukwa Theater Group
Ayoubu Documentation and Publication
1984 Udhalilishaji na Hali yaunyonge katika Jamii
73
Paukwa Theater Group
Ayubu Kampala Document Centre
1984 Haki.
74
Rukambelya V
Msomi ILOS 1990 Matatizo wayapatayo wasoomi.
75 Sehoza M Mwaa katika Minyororo
University missionary for Central Africa.
1921 Fitna na adha za kukaa Jela.
Zanzibar
76
Seme W Njozi za Usiku
Longman –DSM 1973 Ukombozi nchini TANZANIA
77
Semzaba E Ngoswe Penzi kitovu cha uzembe
DUP 1988 Hasara za Ulevi na Kutowajibika,Mapenzi na umuhimu wa Elimu.
78
Semzaba E Tende Hogo
TPH 1984 Utumwa na Athari zake katika Jamii.
79
Semzaba E Sofia wa Gongolamboto
Benedictine Publishers
1984 Ukombozi wa kijinsia na Mapenzi,Umuhimu wa elimuna Imani z kishirikina.
80Sengo T S Y Mtumwa TUKI 1978 Athari zq
utumwa.
81
Sengo T S Y Utani kwavitendo
DUP 1973 Ukombozi wa Kifikra na Mawaidha
82
Senkoro F E Adila Benedictine Publishers
2002 Mapenzi,rushwa,ukatili na wizi.
83
Sheraly N [nawenzke]
Wakti ni huu
TPH-DSM 1973 Faida ya Elimu ya watu wazima na Kisomo chenye Manufaa.
84 Topan Farouk
MFALME JUHA
OUP 1971 Tamaa mbele Mauti nyuma,Adabu na Heshima Tabia
njema,Tamaa na choyo na Mauti.
85
Topan Farouk
AliyeonjaPepo
TPH 1977 Matabaka na nafasi ya Dini katika Jamii.
86
Ubehoma K M Rushwa Nchini.
TUKI 1978 Dhuluma ,wizi na Ukombozi.
87
Ugula P Ufunguo wenye hazina.
Evan-DSM 1969 Maono na Maadili katika Maisha.
88
Wamitila K W
Wingu la kupita.
Spectrum media Ltd
1999 Uongozi mbaya,Dhuluma na Ushirikina.
RIWAYA
S/N MWANDISHI JINA LA KITABU
MCHAPISHAJI MWAKA DHAMIRA
1
A Bedinko Mwasi H.E.B Nairobi
1972 Mgogoro Katiya Ukale na Usasa
2
A. M kateti Kiwiliwili kilichopotea
Ndanda Mission Press
1994 Ulevi, Uvivu, Mapenzi, Unyumba Na Mauwaji ya Kinyama (Maadili Katika Jamii)
3
A. R. Mhozi Pendo la Kifo
T.P.H, DSM 1980 Ukosefu wa uaminifu na mapenzi katika ndoa
4Abdallah L.Ajjm
Habari zaWakirindi
5
Abdallah M.S
Mzimu wa Watu wa Kale
E.A.L Nairobi
1958 Athari ya dhuruma na upelelezi
6
Abdallah M.S
Kisiwa cha Giningi
Evans Brother Nairobi
1958 Uongozi Mbaya na ushikina
7
Abdallah M.S
Dunia Kuna Watu
E. A. P .H. Nairobi
1973 Maadili na maono kwa binadamu
8Abdallah M.S
Siri ya Sifuri
E. A. P .H. Nairobi
1974 Upelelezi
9 Abdallah M.S
Mwana wa Yungi Hulewa
E. A. P .H. Nairobi
1976 Mila na tamaduni mbalimbali
za kitanzania
10Abdallah M.S
Kosa la Bwana Msa
Africana Publishers
1984 Upelelezi
11
Abdul Baka Salome T. P.H Dsm 1972 Nafasi ya mwanamke katika jamii
12 Ahando V Utaniua O. U P 1973 Hekima
13
Akwisomba B Jero si Kitu
T.P.H, DSM 1972 Ujenzi wa jamii na maendeleo
14
Alli HassanNjama
Nazikumbuka Ndoto
Jomokenyata Foundation Nairobi
2004 Umuhimu wa elimu katikajamii
15
Amina H.N Chuki ya Ndoa
Benedictin Publication
1981 Unyanyasaji dhidi ya wanawake
16
Bairu. K. Atama
Sokoni Kariakoo
Tam tam BookPublication
2004 Matatizo ya mjini kwa wageni
17
Banzi Alex Titi la Mkwe
T.P.H, DSM 1972 Mapenzi, imani za ushirikina na uchawi ( falsafa yamaisha ya mwafrika)
Barisidya N.M
Shida Foundation Nairobi
1975 Ujenzi wa jamii mpya
18Buyu, John Mtu Geni longman 1971 Ujenzi wa
jamii mpya
19
Chachage C.L
Kivuli BCI- Publishers
1981 Ugumu wa Maisha na Mapenzi
20Chachage C.L
Sudi ya Yohana
DUP- DSM 1981 Ujenzi wa jamii mpya
21
Chachage C.L
Almas za Bandia
DUP- DSM 1991 Unyonyaji dhidi ya nchi changa
22
Charle M.L Adha ya Kimwi
TMP Book Department
2001 Matatizo yatokanayo na ukimwi
23Chiduo, M Mikononi
mwa MauiEAP 1978 Maisha na
Mwisho wake
24
Chime M. w. Gongo la Umma
Black Star Agencies, DSM
1980 Hrakati za ukombozi za wandima dhidi ya wamboya
25
Chiume,M.K Mbutolwe Mwana wa Umma
Longman 1973 Ujenzi wa Jamii Mpya
26
Chuma,K. Fadhiri msili wnaugua
TPH- DSM 1971 Mvutano baina ya mila za kiislam tamaduni zingine
27Eddie, Ganzel
Faili Maalum
Tamasha Publishers
1978 Upelelezi
28Eddie, Ganzel
Kitanzi Utamaduni Publishers
1984 Kisasi
29Eddie, Ganzel
Kijasho Chembamba
Tamasha Publishers
1980 Ulinzi na Uhalifu
30
Farsy, M. S Kurwa na Doto
EAPH 1978 Mila na Destri za Wakazi wa Zanzibar
31
Hambwe, J Maisha Kitendawili
Jomo Kenyatta Foundation
2000 Ugumu wa Maisha. Anasa na Umuhimu wa kazi katika Maisha
32
Hammie, Rajabu
Roho Mkpnpni
Busara Publication
1984 Upelelezi
33 Hunga,E Cha EALB 1974 Mapenzi
moyoni Mwako Kisetiri
Katika Ndoa
34
Isaya, P Nyumabni kwa Mchawi
NMP 1961 Imani za jadi na Athari za Utamaduni
35J. Kitsao Bibi
ArusiOUP 1980 Mila na
Desturi
36
Joachim, Gatahwa
Mdundiko wa Maisha
Benedictine Publication
1990 Migongano Katika Maisha
37John, M. S Kivumbi
UwanjaniTras Afica 1978 Mapenzi
38Kageuka, Frolika
Mbio za Jasusi
Upendo Publishers
1992 Ujasusi na Upelelezi
39
Kapombe, Y.N
Usiku wa Mbalamwezi
TPH- DSM 1979 Harakati za Ukombozi
40
Kasam, K. M Mpango International PublishersAgencies Ltd
1982 Harakati za Ukombozi
41Katalambula, F. H
Simu ya Kifo
EALB 1965 Upelelezi
42Katalambula. F. H
Pili Pilipili
EAP 1977 Tama na Mapenzi
43Katalambula. F. H
Buriani TPH- DSM 1972 Masaibu ya Maisha
44
Kayamba, Martine
Tulivyoona na Tulivyofanyiwa na Uingereza
EALB- Nairobi
1934 Uonevu na Unyanyasaji wa Kitaifa na Kitabaka
45
Kezilahabi,E.
Rosa Mistia
EALB 1971 Mgongano wa Mila na Athari za Malezi
46Kezilahabi,E.
Kichwa Maji
EAPH 1974 Falsafa ya Maisha
47
Kezilahabi,E.
Dunia Uwanja waFujo
EAP- Arsha 1975 Falsafa ya Maisha
48Kezilahabi,E.
Gamba la Nyoka
EAP 1979 Falsafa ya Maisha
49
Kezilahabi,E.
Nagona Education Publication Centre
1987 Falsafa na Ukweli kuhusu Maisha
50Kezilahabi,E.
Mzingile DUP 1996 Falsafa na Maisha
51
Kiango, S.D Jeraha laMoyo
HEB 1974 Mapenzi na Maadili katika Jami
52
Kibao, S. A Matatu yaThamani
Heinemann Education Books
1975 Dhuruma, Ufukara na Utajiri
53
Kiimbila, J. K.
Ubeberu Utashindwa
TUKI-DSM 1971 Harakati ya Ukombozi katika Nchi ya Msubiji
54
Kiimbila, J. K.
Lila na Fila
OUP 1967 Umuhimu wa umoja katikaJamii
55
Kimwaga, H.A.
Je ni Kisasi?
Associated Graphics Arts Publication
1982 Dhamana ya Mapenzi na Ndoa
56Kirumbi, S.P
Nataka Iwe Siri
TUKI-DSM 1974 Ukoloni
57
Kitereza, Anicet
Bwana Myombokere na BibiBibi Bugonoka
TPH- DSM 1980 Mila na Desturi, Mpaenzi na Unyumba
58
Komanya, Anthony
Tabu TPH 1992 Matatizo katika maisha
59 Komba, S. M Pete TUKI-DSM 1978 Dini na
Mapenzi
60
Komba, S. M Mchakamchaka wa Maisha
Peramiho Printing Press
1978 Harakati za Maisha na Umoja
61
Korieth, P.M
Hadith yaVita vya Majimaji
EAPH 1971 Ukombozi
62
Korieth. P.M
Kibuli bila ya Msalaba
EAPH 1971 Ukombozi na Imani ya dini
63Lema, E Mwendo Diamond
Publishers1980 Malezi
64
Lihamba, Amandina
Wimbo wa Sokomoko
TPH 1990 Malezi ya vijana na Uwajibikaji
65
Liwenga, G Nyota ya Huzuni
TPH 1981 Mapenzi, unyanyasaji na Uwajibikaji
66
Liyoka, H. M
Dunia Imeharibika
Longman 1970 Uozo Duniani
67
Masoza,C.N Zaka la damu
Dar-es-salaam PrintPark
1972 Mapenduzi yakweli Zanzibar
68
Mathius Mynapala
Mlina asali na wenzake wawili
EALB 1961 Maadili
69
Mathius mnyapala
Kisa cha bahati nandugu zake
Ndanda mission press
1967 Maadili
70
Mben,I,C Ujamaa siuwezi
BSA 1975 Umuhimu wa ujamaa na umoja katikajamii
71 Mbogo.E Watoto wamama
HEKO PABLISHER
2002 Umasikini elimu nafasi
ntilie ya mwanamke ktk jamii
72
Mbotela JAMES
UHURU WA WATUMWA
Sheldon press London
1934 Ukombozi na wema wa waingereza kwa watumwa
73Mbwela,H,M Donda
nduguTPH-DSM 1973 Matatizo ya
maisha
74
Mbwelwa,H,M Mtu aliyefufuka
TPH-DSM 1972 Ushirikina
75Mdoe,C Kilemba
cha ukokaKiuta-DSM 1984 Kejeri na
dhihaka
76Mfwangavo,D,S
Zainabu ghorofani
Ndanda mission
1971 Bidii katikakaz
77Mhina,G Mtu ni
utuTPH-DSM 1971 Unanyasaji
na maadili
78
Mkabarah,J Maisha yasalum Abdallah
Tuki DSM 1975 Historiya yamaisha ya salum Abdalah
79Mkangi K,G Mafuta HEB 1984 Maovu na
matabaka
80Mkangi K,G Ukiwa TPH-DSM 1975 Rushwa na
mapenzi
81Mkangi,K,G Ukiwa TPH-DSM 1975 Rushwa na
mapenzi
82
Mkufya,W,E Zirael nazirani
Hekima publishers DSM
1999 Mgogoro wa dini
83Mkufya,W.E Ua la
furahaTPH 2004 Starehe na
mapenzi
84
Mloka,C Mjini taabu
Benedictine pablication
1985 Matabaka,Rushwa na unyanyasaji
85
Mlokozi, M.M
Moto wa Mianzi
ECOL- Publication
1996 Madhara yaVitaBaraniAfrica
86 Mlokozi, M. Ngoma ya TPH- DSM 1991 Uongozi,
M Mianzi Mapenzi, siasa na Ndoa
87
Mlokozi, M.M
Barua za Shaaban Robert
TUKI-DSM 2000 Maonyo na Maadili
88Mlokozi, M.M
Ngome ya Mianzi
89
Mohamed, S.Mohamed
Nyota ya Rehema
UOP 1978 Uongozi Mbaya, Uwazina Ukweli
90
Mohamed, S.Mohamed
Kicheko cha Ushindi
Shungwaya Publishers Ltd
1978 Matabaka na Utamaduni
91
Mohamed, S.Mohamed
Kiu EAPH- Nairobi
1972 Mirathi, Mapenzi na Unyumba
92
Mohamed, S.Mohamed
Utengano Longman- Nairobi
1980 Mvutano baina ya Nguvu za Kiasili na Jamii
93
Mohamed, S.Mohamed
Dunia MtiMkavu
Longman-Nairobi
1980 Mvutano baina ya Nguvu za Kiasili na Jamii
94Mohamed, S.Mohamed
Kina cha Maisha
Longman 1984 Falsafa ya Maisha
95
Mohamed, S.Mohamed
Kiza katika Nuru
OUP- Nairobi 1988 Mapambano yaMila na Itikadi za Kijamii
96
Mohamed, S.Mohamed
Tata za Asumini
Longman 1990 Ukiukwaji waHaki za Binadamu, Fikra na Hisia
97 Mohamed, S. Babu J.K 2001 Utawala wa
Mohamed Alipofufuka
Foundation Kilimwengu na Athari zaMaendeleo
98Mohamed, S.Mohamed
Asali Chungu
Shungwaya Publishers
1978 Mapenzi
99
Mohammed,M,S
Mchomo wakisu
EAP 1970 Kiu ya maisha na kero ktk jamii
100
Mohammed,M.S
Kulwa na Doto
EAPH 1960 Thamani ya utamaduni ktk jamii mila na desturi
101
Mommed.M.S Mbojo simba mtoto
EALB 1977 Upelelezi wasimba mla watu
102Msewa.O Kifo cha
ugeniniTPH 1977 Mauaji
103
Msokile, M. Usiku utapokeisha
Popular publication Ltd
1990 Maisha na mzunguko wake,Dhulma athari yake
104Msokile, M. Nitakuja
kwa siriDUP 1981 Mapenzi
105Msokile, M. Dhani ya
ukubwaDUP 1979 Mapambano
yakitabaka
106
Msokile, M. Dhihaka ya mume
Meza pablication
1992 Unjanjasaji Dhidi Ya Wanawake
107
Mtendamema,G.W
Utotole LOGMAN 1974 Imani za uchawi na kutunza tunuza maisha
108
Mtobwa, B. R.
Tutarudi na roho zetu
Heko purblishers DSM
1987 Upelelezi nadhuluma
109Mtobwa, B. R.
Dimbwi ladamu
APT 1984 Mauaji na uharifu
110
Mtobwa, B. R.
Harakati za Joram njuma ya pazia
Heko publishers
2004 Mauaji na upelelezi
111Mtobwa, B. R.
Pesa zakozinanuka
2005 Unafiki na ukatili
112
Mtobwa, B. R.
Dar es salaam usiku (Malaika,Shetani)
2004 Uvumilivu
113
Mung’ong’o,C
Mirathi ya hatari
Education publishers and distribution
1977 Ushirikiano mila na desturi
114
Mung’ong’o,C
Njozi iliyopotea
TPH 1980 Usawa wa binadam dhulma na unjanjasaji
115
Musiba, A. E
Njama Pupular publication Ltd
1989 Uharifu na upelelezi
116Musiba, A. E.
Zawadi yaushindi
1987 Ukombozi na mapenzi
117
Musiba, A. E.
Hofu Popular publication Lltd
1997 Ukombozi na upelelezi
118
Musiba, A. E.
Kikosi cha kisasa
Popular publication Ltd
1989 Uharifu na upelelezi
119
Mvungi, M lwidiko TPH-DSM 1976 Uwajibikaji Haki na mapenzi
120Mvungi, T Hana
hatia1975 Maadili na
Haki
121
Mwakyembe,H Pepo ya mabwege
DUP 1974 Uchumi na nafasi ya mwanamke ktkjamii
122Mwanga, Z. Kiu ya
HakiDUP 199 Haki ukweli
na ukombozi
123
Mwanga, Z. Hiba ya Wivu
OUP 1974 Fina na athari za wivu ktk maisha
124
Singija D. Pendo la kifo
TPH 1972 Kutoaminiana,imani za uchawi na ushirikina
125
Senkoro ,F,E
Adila Benedictine publication
2002 UJENZI WA JAMII MPYA MAADILI MAPENZI NA ELIMU
126
Senkoro ,F,E
Mzalendo Shinywaya publisher Nairobi
1977 Harakati na mbinu za ukombozi
127
Semela Fedelis
Maisha yanuksi
Longman 1976 Pupa ya mafanikio kwa vijana na ugumu wa maisha
128
Shija SF BALAA LA USHANGINGI
Ndanda misision press
1992 Ansa za mapenzi
129Omolo L.O UHARIFU
HAULIPILONGMAN 1971 MAUAJI
130
Omolo L.O MTAKA YOTE KWA PUPA HUKOSA YOTE
LONGMAN 1973 TAMAA YA MALI NA ATHARI ZAKE
131Omolo L.O MUELEVU
HAJINYOIHEKIMA PUBLISHERS
1971 ULEVI MWINGIHAUFAI
132 RUHUMBIKA,G Milad bubu ya wazalendo
TPH 1992 HUJUMA NA UONGOZI WENYE
URASIMU
133
ROBERT.S Kusadikika
Nelson NAIROBI
1951 ELIMU NA UONGOZI MBAYA
134
ROBERT.S Adili na nduguze
Macmillan 1952 UADILIFU WIVU NA TAMAA
135
ROBERT.S Maisha yangu na baada miaka hamsini
Nelson NAIROBI
1966 MAISHA NA MAPENZI
136
ROBERT.S Siku ya watenzi wote
NELSON NAIROBI
1968 UKOMBOZI
137
ROBERT.S Utu bora mkulima
NELSON NAIROBI
1968 UMUHIMU WA KILIMO
138
ROBERT.S Wasifu wasiti bint9Saad
NELSON NAIROBI
1965 MALEZI UVUMILIVU UJASILI NA ELIMU
139
ROBERT.S Maisha mapya
HIDARA YA UCHAPAJI RADUGA MASCOW
1987 MAWAIDHA NA MAONYO MBALIMBALI
140
ROBERT.S Kufikirika
MKUKI NA NYOTA PUBLISHERS DSM
1991 HABARI YA ,MAISHA YA KIBWENYENYE NA KIFALME,JUHUDI ZA UKOMBOZI
141
RUTAYISIGWA,J,
NGUMI UKUTANI
LONGMAN 1979 MAPENZI,MALEZI NA FAIDA ZA UVUMILIVUNA SUBIRA KTK MAISHA
142
RASHID,H. ROHO MKONONI
BUSARA PUBLICATION
1984 UONGOZI MBAYA,UJASIRI NA UWAJIBIKAJI
143
SAYARI ,A.J HARUSI DUP 1993 UKALE NA USASA MAPENZI NA NDOA
144SAID. S UKOMBOZI EAST AFRICAN
PUBLICATION1979 MAPAMBANO
145SEHZA M MWAKA KTK
MINYORORO1921 DHULMA NA
UONGOZI
146SEME,W NJOZI ZA
USIKULONGMAN 1973 UKASUKU
147SALEHE S DIRA OUP 1976 HAKI NA
USAWA
148
SHAFII ADAM,S
KULI TPH 1979 UNYONYAJI N DHULMA YA UKOLONI TANZANIA
149
MHIMBALI RENATUS
VISA VYA YATIMA CHIBIBI
HEKO PUBLISHERS
2003 HEKIMA.UJASIRI.NA VIPAJIVYA WATOTO VILIVYOFICHIKA
150
MNYAKA ONGE KIMBIA” HELENA KIMBIA
HEKO PUBLISHERS
2005 MATATIZO YA VITA VYO WENYEWE KWA WENYEWE AFRIKA YA KATI
151
MUSHI,J,S BAADA YA DHIKI FARAJA
TPH UDSM 1969 HARAKATI ZA KUONMDOA MATABAKA UKOMBOZI
152MUSHI,J,S TUHUMA ZA
UCHAWIBPNP 1986 IMANI POTOFU
153NGOMOI.J NDOTO YA
NDALIATPH 1976 UJENZI WA
JAMII MPYA
154
NKWELA ,F MAZISHI YA BABA ANARADHI
EALB 1967 MILA NA DESTURI
155NURU,M.S NDOA YA
MZIMUEALB 1974 USHIRIKINA
156157
NG’AMBO.A.H CHUKI YA NDOA
BENEDICTINE PUBLIUCATION
1981 UGANDAMIZAJINA MAPENZI
158
NDIMBALE,CHARLES
FIMBO YA ULIMWENGU
HED 1974 MATATIZO KTKJAMII NA UJASIRI
159NYASURU GODFREY
LANA YA PANDU
ELB 1974 MAADILI
160
NCHIMBI BR MAPENZI YA DAWA
TPH 1974 MAPENZI YA KWELI NA YADAWA
161
NSHIKU,T FIMBO YA MNYONGE
TPH 1978 MIVUTANO YA KITABAKA BAINA YA MATABAKA YA WATAWALIWA NA WATAWALA
161
162
SHAFI ADAM SHAFI
KASRI YA MWINYI FUNDI
TPH 1`978 Unyonyaji naMapinduzi
163
SHAFI ADM,S.
VUTAN’KUVUTE
MKUKI NA NYOTA PUBLISHERS
1999 Ukombozi wa Kisiasa Kiutamaduni na Dhana potofu.
164
ERICK,J.SHIGONGO
RAIS ANAMPENDAMKE WANGU
GLOBA PUBLISHRES AND GENERAL ENTERPRESES LTD
2003 Mapenzi na Kisasi
165 ERICK,J.SHIGONGO
SILI ILIYOTESAMOYO WNGU
GLOBA PUBLISHRES AND GENERAL
2003 Usaliti katika Mapenzi,Uhal
ENTERPRESES LTD
ifu,Ukatili na Upelelezi
166
SEMZABA,E FUNGE BUGEBUGE
DUP 1999 Athari za Umri ktika Maisha
167
SIMBAMWENE,J,M
KWA SABABU YAKO
LONGMAN 1972 Ubadhilifu wa Mali za Umma
168SIMBAMWENE,J,M
KIVUMBI UWANJANI
TRANS AFRICA 1978 Mapenzi
169SIMBAMWENE,J,M
RISASI YAMWISHO
JOMMOSI 1981 Upelelezi
170
SIMBAMWENE,J,M
KWELI UNANIPENDA?
TRANS AFRICA 1978 Mapenzi n Ndoa
171
SIMBAMWENE,J,M
KWA SABABU YAPESA
LONGMAN 1972 Tamaa ya Pesa,Uhalifuna Ujambazi
172
SIMBAMWENE,J,M
MAPENZI YA PESA
NMP 1976 Mapenzi ya Fedha Hayafai
173
SOMBA.J,N KUISHI KWINGI NIKUONA MENGI
EAPH 1973 Utii Maadilimema Hekima na Malezi bora
174
SOMBA.J,N ALIPAND UPEPO AKAVUNA TUFANI
Kiuta Ltd 1969 Usaliti katika maisha
175
SANGIJA ,D BADO MMOJA
NDANDA MISSION PRESS
1975 UPELEZI DHULMA NA MAUAJI
176
THONYA,L.M ULIMWENGUWA NDOTO
BSA 1978 HISTORIYA YA,MAISHA YA MWANADAMU ULIMWENGUNI
177 TUNGANEA,W.X
…ZA UMMA TAMU LAKINI
TANZANI BOOKSELLERS COMPANY LTD
1984 HUJUMA DHIDIYA RASILIMALI