JUMA - Teachers updates
-
Upload
khangminh22 -
Category
Documents
-
view
2 -
download
0
Transcript of JUMA - Teachers updates
DOWNLOADED FROM: www.teachersupdates.co.ke
1
MAAZIMIO YA KAZI KIDATO CHA PILI MUHULA WA KWANZA MWAKA 2020
JUMA
KIPIN
DI
MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA NJIA ZAKUFUNDISHIA NYENZO MAONI
1 1 Kusikiliza nakuzungumza.
Matamshi bora.Silabi tatanishi.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kusahihisha makosa ya kitamshi yanayohususilabi.
Maelezo.Kutamka.Imla.Maswali na majibu.
KiswahiliFasaha - IIMwongozowa Mwalimu.Kitabu chaMwanafunzi.KCM Uk 1-2MWM Uk 1-2
2 Kusikiliza,kuzungumzapamoja nakuandika.
Utungaji – Orodhaya mambo.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza ordha ya mambo.Kueleza umuhimu wa ordha.Ketengeneza orodha ya mambo.
Majadiliano.Maelezo.Makundi.Tajriba.
KCM 2-4MWMUk 2-3Michoro-kichwa chabinadamu, alaza kutamkia.
3 Kusoma nakwandika.
Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kusoma kwa sauti na kimya.Kujibu maswali.Kubainisha ujumbe wa taarifa na msamiatimpya.
Usomaji wa taarifa.Tajriba.Maelezo.Maswali na majibu.Utafiti wa msamiati.
KCMUk 4-5MWMUK 3-7
Kamusi.
4 Sarufi namatumizi yalugha.
Nomono. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kuelezea nomino ni nini.Kutaja na kueleza aina za nomino.Kutumia nimino katika sentensi.
Ufafanuzi.Maelezo.Maswali na majibu.Mazoezi.
KCMUk 6-7
MWMUK 7-8
5 Kusikiliza nakuzungumza.
Makosa yakimantiki.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kusikiliza na kuchanganua taarifa.Kutambua na kurekebisha makosa ya kimantikikatika taarifa.
Ufahamu wakusikiliza.Ugunduzi.Mifano.Vichekesho.Kazi mradi.
KCMUk 8
MWMUK 8-10
DOWNLOADED FROM: www.teachersupdates.co.ke
2
2 1-2 Kusikiliza nakuzungumza.Fasihi yetu.
Ukusanyaji nauhifadhi wa fasihisimulizi.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza njia zinazoweza kutumika kukusanyakazi za fasihi simulizi.Kufafanua njia zinazoweza kuhifadhi kazi zafasihi simulizi.Kueleza udhaifu ulioko katika njia za kuhifadhifasihi simulizi.
Masimulizi.Maelezo.Maswali na majibu.Ufahamu wakusikiliza.
KCMUk 8-9
MWMUK 10-12
3 Kuandika. Insha ya mdokezo. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza sifa za insha ya mdokezo.
Ufafanuzi.Mifano.Utungaji.
KCMUk 10
MWMUK 12
4 Kuandika. Utungaji.Maagizo namaelekezo.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza sifa za insha ya mdokezo.
Ufafanuzi.Maelezo.Mifano.Utungaji.
KCMUk 11
MWMUK 12-14
5 Kusikiliza nakuzungumza.
Mazungumzohoelini.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza sifa za mazungumzo hotelini.
Kusoma.Kujibu naswali.Kuigiza.Kazi mradi.
KCMUk 11-12MWMUK 14-15Mifano yamenyu.
3 1 Kusoma nakuandika.
Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kusoma kwa sauti na kimya.Kujibu maswali.Kubainisha ujumbe wa taarifa na msamiatimpya.
Usomaji wa taarifa.Tajriba.Maelezo.Maswali na majibu.Utafiti wa msamiati.
KCMUk 13MWMUK 15-16
Kamusi.Picha.Mikusanyikoya resipe.
2-3 Sarufi. Vitenzi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza maana ya vitenzi.Kutoa mifano ya aina za vitenzi.Kutumia vitenzi kutungia sentensi.
Mifano.Maelezo.Ufafanuzi.Mazoezi.
KCMUk 14-16
MWMUK 16-17
DOWNLOADED FROM: www.teachersupdates.co.ke
3
3 4 Ufasaha wa lugha. Uakifishaji. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza aina na umuhimu wa viwakifishi.Kutumia viwakifishi kwa ufasaha katikasentensi na vifungu.
Utafiti.Mifano.Ufafanuzi.Mazoezi.
KCMUk 16-17
MWMUK 17-18
Kamusi.
5 Kusikiliza nakudadisi.Fasihi yetu.
Masimulizi yahadithi- fasihisimulizi.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza maana na matumizi ya hekaya.Kueleza mafunzo kutoka hekaya iliyosomwa.
Masimulizi.Kusoma.Maswali na majibu.Maigizo yauwasilishaji.
KCMUk 17-18MWMUK. 18Vibonzo,maleba.
4 1 Kuandika.Utunzi.
Uandishi wakiuamilifu.Resipe.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kutoa tafsili ya neno resipe.Kutaja sababu za kutengeneza resipe.Kueleza mtindo wa kuandika resipe.Kutumia msamiati wa mapishi ipasavyo.
Kueleza mifano.Maelezo.Tajriba.Kuandika na kuelezamsamiati.
KCMUk 19-20
MWMUK. 18-19
2 Kusikiliza,kuandika nakuzungumza.
Matamshi bora.Sauti tatanishi.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kubainisha sauti za Kiswahili.Kueleza sababu za sauti tatanishi.Kurekebisha utata unaotoka na sauti tatanishi.
Utamkaji.Usomaji.Ufaraguzi.Makundi.Majadiliano.Maswali na majibu.
KCMUk 21
MWMUK. 19-21
3 Kusikiliza nakuzungumza.
Mahojoano bainaya daktari namgonjwa.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza mahojiano ni nini.Kueleza sifa za mahojiano.Kueleza yaliyomo katika mahojiano.
Mahojiano.Majadiliano.Kazi za makundi.Mifano.
KCMUk 22-23
MWMUK 21-23
4-5 Kusoma kwaufahamu namapana.
Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kusoma kwa sauti na kimya.Kujibu maswali.Kubainisha ujumbe wa taarifa na msamiatimpya.
Usomaji wa taarifa.Tajriba.Maelezo.Maswali na majibu.Utafiti wa msamiati.
KCMUk 23-25MWMUK 23-26Michoro,vibonzo,mabango.
DOWNLOADED FROM: www.teachersupdates.co.ke
4
5 1 Sarufi. Vivimishi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza maana ya vivumishi.Kubainisha aina za vivumishi.Kutumia vivumishi katika sentensi.
Ufafanuzi.Mifano.Maswali na majibu.Mazoezi.Marudio.
KCMUk 25-9
MWMUK.26-8
5 2 Kusikiliza nakuzungumza –ufasaha wa lugha.
Lugha hospitalini. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza sifa na madhumuni ya lughainayotumika hospitalini.
Mifano na maelezo.Maswali na majibu.Utendaji.
KCMUk 29-30
MWMUK. 28-9
3-4 Kusoma kwa kina.Fasihi yetu.
Mashairi yaarudhi –Mashairi yangonjera.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza sifa na muundo wa ngonjera.Kukariri ngonjera ifavyo.Kujibu maswali kutoka ngonjera.
Ufafanuzi.Majadiliano.Kukariri.Kuigiza.
KCMUk 30-1
MWMUK. 29-30
5 Kuandika. Insha yamazungumzo.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza sifa za muundo wa insha yamazungumzo.Kuandika insha ya mazungumzo.
Ufafanuzi.Majadiliano.Mjadala.Kuandika.
KCMUk 31-32
MWMUK. 30-31
6 1 Kuandika. Uandishi wakawaida.Imla.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kusoma kwa ufasaha.Kuandika taarifa kwa usahihi.Kueleza maana ya maneno yanayokaribianakimaana.
Maelezo.Maswali na majibu.Imla / mashindano.
KCMUk 33
MWMUK. 31-32
2 Kusikiliza nakuzungumza-
Mazungumzobaina ya mwalimuna mzazi.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kuendesha mazungumzo kwa mtiririko mzuriKutumia msamiati ipasavyo.
Mifano na maelezo.Maswali na majibu.Mashindano.
KCMUk 23-25MWMUK.22-23
3 Kusoma nakuandika.
Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kusoma kwa sauti na kimya.Kujibu maswali.Kubainisha ujumbe wa taarifa na msamiatimpya.
Usomaji wa taarifa.Uvumbuzi.Maelezo.Maswali na majibu.Utafiti wa msamiati.
KCMUk 35-6MWMUK 33-4
DOWNLOADED FROM: www.teachersupdates.co.ke
5
4 Sarufi. Vivumishi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kutaja aina na matumizi ya vivumishi.
Maswali na mifano;Majadiliano.
KCMUk 37-41MWMUK 34-36
5 Kusoma.Ufasaha wa lugha.
Matumizi yakamusi.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza makusidio ya kutumia kamusi.Kutafuta mambo katika kamusi kwa kasi.
Maelezo.Kutamka.Imla.Marudio /kurekebisha makosa.
KCMUk 42
MWMUK. 36-7
7 1MTIHANI WA MAJARIBIO
7 2 Kisikiliza nakudadisi.
Maudhui. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza maana ya maudhui na jinsi ya kupatamaudhui katika kazi za fasili.
Maelezo.Majadiliano.Uchunguzi.
KCMUk 42-3MWMUK. 37-38
3 Kuandika.Utunzi.
Ratiba- siku yawazazi shuleni.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kutaja sifa za ratiba.Kuandika ratiba kwa ufasaha.
Tajriba.Mifano.Kuandika.Kulinganisha.
KCMUk 43-4
MWMUK. 38-9
4 Kusoma nakudadisi.
Misemo. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza maana ya misemo.Kutumia misemo katika sentensi.
Maelezo.Mifano.Ufafanuzi.Kuandika.
KCMUk 45
MWMUK 39-40
5 Kusikiliza nakuzunungumza.
Huduma yadharura.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza maana ya huduma ya huduma yadharura.Kushauri wakati wa kutolewa huduma zadharura mbalimbali.
Masimulizi.Tajriba.Maigizo.Ufahamu wakusikiliza.Utatuzi wa mambo.
KCMUk 45-6
MWMUK 39-40
8 1 Sarufi namatumizi yalugha.
Viwakilishi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza maana ya viwakilishi.Kubainisha aina za viwakilishi.Kutunga sentensi kwa kutumia aina mbalimbaliza viwakilishi.
Vielezo.Mifano.Maswali na majibu.Utungaji wa senensi.Mazoezi.Marudio.
KCMUk 49-53
MWMUK 42-44
DOWNLOADED FROM: www.teachersupdates.co.ke
6
2 Sarufi. Usemi halisi nausemi wa taarifa.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kupambanua usemi wa taarifa na halisi.Kugeuza sentensi kutoka hali moja halinyingine.
Mifano.Ufaraguzi.Mazoezi.Marudio.
KCMUk 53-54
MWMUK 44-5
3-4 Kusikiliza nakudadisi.Fasihi yetu.
Tamathali zausemi.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kuonyesha wasanii wanavyotumia lugha katikafasihi.Kutoa mifano ya baadhi ya tamathali za usemi.
Maelezo.Mifano.Kutunga sentensi.Utafiti.
KCMUk 54-5
MWMUK 45-6
5 Kuandika.Utunzi.
Insha ya maelezo. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza mambo ya kuzingatia katika kutoamaelezo.Kutoa ripoti ya jambo fulani kwa usahihi.
Uigizaji.Uchunguzi.Ufahamu wakusikiliza.Kuandika.
KCMUk 55-6
MWMUK 46
9 1,2 Kusikiliza nakudadisi.
Istiari. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kufafanua neno istiari.Kutoa na kueleza maana ya istiari mbalimbali.Kutumia istiari katika sentensi.
Maelezo.Uvumbuzi.Maswali na majibu.Majadiliano..Mazoezi.
KCMUk 57
MWMUK. 47-8
3,4 Kusikiliza nakudadisi.Fasihi yetu.
Mafumbo. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza dhana ya mafumbo na umuhimu wake.Kufumba na kufumbua mafumbo.
Ufafanuzi.Maelezo.Masali na majibu.Mashindano.Kujaza mirabaImla.
KCMUk 57-8
MWMUK. 48-51
5 Kusoma nakuandika.
Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kusoma kwa sauti na kimya.Kujibu maswali.Kubainisha ujumbe wa taarifa na msamiatimpya.
Usomaji wa taarifa.Uvumbuzi.Maelezo.Maswali na majibu.Utafiti wa msamiati.
KCMUk 58-60
MWMUK 51-2
10 1 Sarufi. Vielezi. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza maana ya vielezi.Kutunga sentensi sahihi kwa kutumia vielezi.
Maelezo.Mifano.Maswali na majibu.Mazoezi.
KCMUk 60-2
MWMUK 52-3
DOWNLOADED FROM: www.teachersupdates.co.ke
7
2 Sarufi.Ufasaha wa lugha.
Ukubwa na odogowa nomino.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kufafanua hali ya ukubwa, udogo na wastaani.Kueleza mabadiliko ya kisarufi katika halitofauti.Kutumia nomino za hali tofauti katika sentensi.
Mifano.Maelezo.Mazoezi.
KCMUk 62-4
MWMUK 53-4
3,4 Kusikiliza nakudadisi.
Wahusika. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza maana ya wahusika.Kutaja na kueleza aina ya wahusika.Kueleza sifa za wahusika kwa ujumla.
Tajriba.Majadiliano.Maswali na majibu.Ufafanuzi.
KCMUk 64-5
MWMUK 54-5
5 Kuandika.Utunzi.
Utungaji wakiuamilifu.Barua ya mwaliko.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza mtindo wa barua ya mwaliko.Kwandika barua ya mwaliko.
Ufafanuzi.Kusoma barua zamwaliko.Kuandika.
KCMUk 65-6
MWMUK 55
11 1 Kusikikiza nakudadisi.
Methali. Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kufafanua maana na matumizi ya methali.Kutumia methali katika mazungumzo namaandishi.Kueleza mafunzo ya methali.
Maelezo.Mifano.Utoaji visa.Kazi mradi.
KCMUk 67-8
MWMUK 55-7
2-3 Kusikiliza nakuzungumza.
Kamusi yamethali.
Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza sifa za kamusi ya methali.Kutumia kamusi ya methali.
Maelezo.Kutumia kamusi.Utafiti.
Kamusi yamethali.
4 Kusoma kwaufahamu.
Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kusoma kwa sauti na kimya.Kujibu maswali.Kubainisha ujumbe wa taarifa na msamiatimpya.
Usomaji wa taarifa.Uvumbuzi.Maelezo.Maswali na majibu.Utafiti wa msamiati.
KCMUk 70-2
MWMUK 58-9
5 Sarufi. Viunganishi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza maana ya neon kiunganishi.Kutoa mifano ya viunganishi.Kutumia viunganishi katika sentensi navifungu.
Mifano.Maswali na majibu.Mazoezi.Marudio.
KCMUk 72
MWMUK 59-60
DOWNLOADED FROM: www.teachersupdates.co.ke
8
12-13 MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA WA KWANZA
MAAZIMIO YA KAZI KIDATO CHA PILI MUHULA WA PILI MWAKA 2020
JUMA
KIPIN
DI
MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA NJIA ZAKUFUNDISHA NYENZO MAONI
1 1-2 Kuandika.Ufasaha wa lugha.
Uandishi wakawaida.Muhtasari.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza umuhimu wa muhtasari.Kutaja hatua za kufupisha.Kufupisha sentensi na vifungu.
Majaribio.Utatuzi wa mambo.Maswali na majibu.
KCMUk 73-7
MWMUK 60-1
DOWNLOADED FROM: www.teachersupdates.co.ke
9
3 Kusikiliza nakudadisi.
Fasihi simulizi.Mighani.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kufafanua neno mighani.Kuandika mifano ya mighani.
Mifano.Masimulizi.Kuigiza.
KCMUk 74-7
MWMUK 61-2
4-5 Kuandika.Utunzi.
Insha yamethali.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza muundo wa insha ya methali.Kuandika insha ya methali.
Maelezo.Ufafanuzi.Visa.Masimulizi.Kuandika.
KCMUk 77-8
MWMUK 62-3
2 1 Kusikiliza,kusoma nakuandika.
Matamshi bora.Vitate.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kutamka maneno kwa usahihi.Kuandika sentensi akionyesha maana yamaneno.
Uchunguzi.Majaribio.Mchezo wa lugha.Imla.
KCMUk 79
MWMUk 63-4
2 Kusikiliza nakuzungumza.
Hotuba yakisiasa.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kutaja sifa za hotuba ya kisiasa.Kueleza hoja kuu teule.
Tajriba.Ufafanuzi.Mifano.Kazi mradi.
KCMUk 79-82
MWMUk 64-5
2 3 Kusoma nakuandika.
Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kusoma kwa sauti na kimya.Kujibu maswali.Kubainisha ujumbe wa taarifa na msamiatimpya.
Usomaji wa taarifa.Uvumbuzi.Maelezo.Maswali na majibu.Utafiti wa msamiati.
KCMUk 82-4
MWMUK 65-6
4 Sarufi. Vihisishi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza maana ya vihisihi.Kubainisha aina za vihisishi.Kutumia vihisishi katika sentensi.
Ufaraguzi wa hisia.Kuigiza.Mifano katika sentensi.Maelezo.
KCMUk 84
MWMUK. 66-7
Maleba.
DOWNLOADED FROM: www.teachersupdates.co.ke
10
5 Sarufi.Ufasaha w lugha.
Kukanusha. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kukanusha sentensi katika nyakatimbalimbali.
Mifano.Uvumbuzi.Mazoezi.
KCMUk 84-7
MWMUK. 67-9
3 1-2 Kusoma kwa kina. Ushairi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza maana ya utenzi.Kudondoa ujumbe muhimu.Kuandika maneno kwa lugha ya nathari.Kueleza maana ya maneno na vifungu.
Mifano.Maelezo.Kazi mradi.
KCMUk 88-90
MWMUk 69-71
3 Kuandika.Utunzi.
Hotuba yakisiasa.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kutaja sifa za hotuba ya kisiasa.Kueleza hoja kuu teule.
Tajriba.Ufafanuzi.Mifano.Kazi mradi.
KCMUk 90
MWMUk 71
4 Kusikiliza nakuzungumza.
Vitawe. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza maana ya maneno yenye maana zaidiya moja.Kutumia vitawe katika sentensi.
Maelezo.Kutunga sentensi.Ufafanusi.Imla.Mazoezi.
KCMUk 91
MWMUK. 72-3
5 Kusikiliza nakuzungumza.
Kusoma vitabuvya maktaba.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kusoma vitabu vya maktaba na kudondoa joja.
Kusoma.Kuandika.
Vitabu vyamaktaba.
4 1 Kusoma nakuandika.
Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kusoma kwa sauti na kimya.Kujibu maswali kwa usahihi.Kubainisha ujumbe wa taarifa na msamiatimpya.
Usomaji wa taarifa.Maswali na majibu.Maelezo na urekebishajiwa makosa.Utafiti wa msamiati.Mdahalo.
KCMUk 92-3
MWMUk 74-5
Kamusi.
2 Sarufi. Vihusishi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza maana ya vihusishi.Kutaja mifano ya vihusishi.Kutumia vihusishi katika sentensi.
Maelezo.Tajriba.Mifano.Mazoezi.
KCMUk 93-4MWMUK. 75-6
DOWNLOADED FROM: www.teachersupdates.co.ke
11
3 Kuandika.Ufasaha wa lugha.
Matangazo yavifo.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kuelezea manufaa na sifa za matangazo ya vifo.Kuandika matangazo ya vifo kwa urefu naufupi.
Ufaraguzi.Maelezo.Mifano.
KCMUk 94-5MWMUK. 76-7Magazeti.Mifano yamatangazo.
4-5 Kusikiliza nakudadisi.
Kisasili. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kusoma na kufurahia kisasili.Kufafanua sifa za visasili.
Masimulizi.Maswali na majibu.Utafiti / tajriba.
KCMUk 95-7
MWMUK. 77-9
5 1 Kuandika (Utunzi) Utungaji wakiuamilifu.Barua ya risalaya pongezi.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza sifa za barua ya risala.Kuandika barua ya risala ya pongezi.
Maelezo.Kuandika.
KCMUk 97-8
MWMUK. 79
2 Kusikiliza nakudadisi.
Chemsha bongo. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kutega na kutegua vitendawili.
Mashindano.Uigizaji.Kazi mradi.
KCMUk 99MWMUK. 79-80
3 Kusikiliza,kuzungumza nakuandika.
Jua na sayari. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kuchora mfumo wa jua na sayari mbalimbali.Kueleza sifa za sayari mbalimbali.Kusoma kwa upana.
Uvumbuzi.Maelezo.Ufafanuzi.Mifano.
KCMUk 99-100
MWMUK. 80-81
5 4 Kusoma. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kusoma kwa sauti na kimya.Kujibu maswali kwa usahihi.Kubainisha ujumbe wa taarifa na msamiatimpya.
Usomaji wa taarifa.Maswali na majibu.Maelezo na urekebishajiwa makosa.Utafiti wa msamiati.
KCMUk 100-2MWMUk 81-2
Kamusi.
5 Sarufi namatumizi yalugha.
Mofimu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza maana ya mofimu.Kubainisha mofimu za Kiswahili.Kufafanua dhima ya mofimu.
Maelezo.Mifano.Ufafanuzi.Utatuzi wa mambo.
KCMUk 102-3
MWMUK. 83
DOWNLOADED FROM: www.teachersupdates.co.ke
12
6 1 Sarufi.Ufasaha wa lugha.
Uakifishaji. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kuakifisha sentensi na vifungo.
Maswali na majibu.Mifano.Mazoezi.
KCMUk 104-5
MWMUK. 83-4
2 Kusoma kwa kina. Mashairi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kusoma shairi na kujibu maswali kwa usahihi.
Kukariri.Maelezo.Kujibu maswali.
KCMUk 106-8
MWMUK. 84-5
3 Kuandika (Utunzi) Utungaji wakisanii- hadithifupi.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kuandika hadithi fupi.
Maelezo.Utafiti.Kuandika.
KCMUk 108
MWMUK. 85-6
4 Kusikiliza nakudadisi.
Vitendawili. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kufafanua maana ya vitendawili.Kuandika vitendawili na majibu yanayofaa.
Mashindano.Mjadala.Kutega na kutegua.
KCMUk 109
MWMUK. 86-7
5 Kusikiliza nakuzungumza.
Mjadala. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kubuni hoja za kuaminika kwa mantiki.Kuzingatia kanuni za mjadala.
Utafiti.Mjadala.Majaribio.
KCMUk 109-112
MWMUk 87
Kamusi.
7 1 Sarufi namatumizi yalugha.
Nyakati naukanushaji.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kutunga sentensi kwa kutumia viambishi vyanyakati.Kukanusha sentensi katika sentensimbalimbali.
Kutoa mifano.Ufaraguzi.Vielelezo.
KCMUk 72-73
MWMUk 62-63
2 Kusikiliza nakudadisi.
Maigizo. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza maana ya maigizo.Kutaja sifa na aina ya maigizo.Kuigiza mchezo mfupi.
Uchunguzi.Kuigiza.Kutoa mifano.
KCMUk 76-77
MWMUK.65-66
Kamusi.
DOWNLOADED FROM: www.teachersupdates.co.ke
13
3 Kuandika(Utunzi)
Uandishi wakiuamilifu –kujaza fomu.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kujaza fomu kwa hati nadhifu na tahajiasahihi.
Mifano.Maelezo.Tajriba.Imla.
KCMUk 78
MWMUK. 65-66
4 Kusililiza nakuzungumza.
Majina yamakundi.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kutaja majina ya makundi.Kutunga sentensi kwa kutumia majina yamakundi.
Maelezo.Mifano.Vikundi.Imla.
KCMUk 79MWMUk. 66-67
Kamusi.
5MTIHANI WA MAJARIBIO
8 1 Kusoma nakuandika.
Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kusoma kwa sauti na kimya.Kujibu maswali kwa usahihi.Kubainisha ujumbe wa taarifa na msamiatimpya.
Usomaji wa taarifa.Maswali na majibu.Maelezo na urekebishajiwa makosa.Utafiti wa msamiati.
KCMUk 80-81
MWMUk 67-68
2 Sarufi namatumizi yalugha.
Viambishi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza matumizi ya viambishi.
Maelezo.Mifano.
KCMUk 114-5MWMUK -89
3 Kusikiliza nakuzungumza.(Ufasaha walugha)
Lugha yamchezoni.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kupambarua sura za rugha yamchezoni.kusimulia habari za michezo.
Masimulizi.Maelezo.Maigizo.Mifano.
KCMUk 115-7
MWMUK 89-90
4-5 Kusikiliza nakudadisi.
Fasihi simulizi.Vitendawili.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kutega na kutegua vitendawili.kufafanua sifaza vitendawili.
Kutega na kutegua.Mashindano.
KCMUk 117-9
MWMUK 90-91
DOWNLOADED FROM: www.teachersupdates.co.ke
14
9 1 Kuandika.(Utunzi)
Insha yamjadala.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kutaja mambo ya kuzingatia na kuandikainsha ya mjadala.Kuandika mjadala kufuatia kanuni za uandishi.
Mjadala.Kazi ya vikundi.Kuandika.
KCMUk 120MWMUK 91
Redio.
2 Kusikiliza nakuzungumza nakuandika.
Vitanza ndimi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza dhana ya vitanza ndimi.Kutamka na kufafanua vitanza ndimi..
Kutamka.Maelezo.Mashindano.
KCMUk 121
MWMUK. 91-3
3 Kusoma nakuandika.
Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kusoma kwa sauti na kimya.Kujibu maswali kwa usahihi.Kubainisha ujumbe wa taarifa na msamiatimpya.
Usomaji wa taarifa.Maswali na majibu.Maelezo na urekebishajiwa makosa.Utafiti wa msamiati.
KCMUk 123-4
MWMUk 93-4
Kamusi.
4-5 Kusoma nakusikiliza.
Vitabu vyamaktaba.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kusoma vitabu vya maktaba na kudondoa joja.
Kusoma.Kuandika.
Vitabu vyamaktaba.
10 1 Sarufi. Umoja na wingiwa vivumishivya pekee.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kutumia vivumishi vya pekee ili kupataupatanisho wa kisarufi.Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi.
Uchunguzi.Vielelezo.Mifano.Ufahamu wa kusikiliza.Kazi mradi.
KCMUk 124
MWMUK. 95-6
2-3 Kusoma kwa kina.Ufasaha wa lugha.
Lugha yaushairi.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kutaja na kueleza sifa za lugha ya kishairi.Kutumia sifa za lugha kulikariri shairi.
Ufafanuzi.Maelezo ya istihali.Kukariri shairi.Uchambuzi.
KCMUk 124-6
MWMUK. 96-7
4-5 Kusoma kwa kina.Fasihi yetu.
Nyimbo. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza sifa za nyimbo.Kuhakiki nyimbo.
Ufahamu wa kusikiliza.Mifano.Ugunduzi.Uimbaji.Uchambuzi.
KCMUk 126-8
MWMUK. 97-102
DOWNLOADED FROM: www.teachersupdates.co.ke
15
11 1 Kusoma nakuandika.
Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kusoma kwa ufasaha.Kujibu maswali ya ufahamu.Kuhakiki matumizi ya lugha na ujumbe.
Kusoma.Uhakiki.Tajriba.Maswali na majibu.Ufafanuzi.
KCMUk 131-2
MWMUK. 106-8
Kamusi.
2-3 Kuandika.Utunzi.
Utungaji wakisanii.Mashairimepesi.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza hatua za kutunga shairi.Kuandika beti za mashairi kwa lugha nathari.Kuandika mashairi mepesi.
Maelezo.Ugunduzi.Mifano.Kuandika.
KCMUk 128
MWMUK. 102-4
4 Sarufi. Umoja na wingiwa viambishivya sifa.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kutumia viambishi vya sifa katika sentensikatika hali ya umoja na wingi.
Maelezo.Maswali na majibu.Mazoezi.
KCMUk 132-4
MWMUK. 108-9
5 Kusikiliza nakuzungumza.Ufasaha wa lugha
Lugha katikamatatu.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:Kueleza tofauti ya matumizi ya lugha katikabiashara ya matatu na kwingineko.Kueleza na kufafanua sifa za lugha katikabiashara hii.
Uhakiki.Majadiliano.Maswali na majibu.Ufahamu wa. Kusikiliza.Kuigiza.Ufafanuzi.Mifano.
KCMUk 134-5
MWMUk. 109-112
Vibonzo.Vielelezo.Mandhari.
12-13 MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA WA PILI
DOWNLOADED FROM: www.teachersupdates.co.ke
16
MAAZIMIO YA KAZI KIDATO CHA PILI MUHULA WA TATU MWAKA 2020
JUMA
KIPIN
DI
MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA NJIA ZAKUFUNDISHA NYENZO MAONI
1 1 Kusoma kwa kina.Fasihi yetu.
Mchezo wa kuigizaI.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kufafanua kiini cha mchezo.Kuwataja na kuwaelezea wahusika.Kueleza ujumbe wa mchezo.Kufafanua maana ya maneno navifungu.
Drama.Uhakiki.Majadiliano.Maswali na majibu.
KCMUk 135-8
MWMUk 112-4
Maleba, vituhalisi, picha,michoro.
2 Kuandika.Utunzi.
Utungaji wa kisanii.Mchezo mfupi wakuigiza.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kuandika mchezo mfupi wa kuigiza.Kuigiza mchezo.
ufaraguzi.Maigizo.Ugunduzi.Kuandika.
KCMUk 138
MWMUk 115-6
3 Kusikiliza nakuzungumza.
Vitambulisho. Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kuelezea umuhimu wa vitambulisho.Kutaja aina mbalimbali zavitambulisho.
Maelezo.Mifano.Ufahamu wakusikiliza.
KCMUk 139
MWMUk 115-16
4 Kusoma na kundika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kusoma kwa ufasaha.Kueleza maana za maneno na vifungu.Kujibu maswali.
Ufafanuzi.Kusoma.Maswali na majibu.Tajriba.
KCMUk 140-3MWMUk 117-8
Kamusi.
5 Kusikiliza nakuzungumza.
Mazungumzo katikakituo cha polisi.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kuendesha mazungumzo baina ya raiana polisi.Kutumia simu kwa maongezi.
Uigaji.Mazungumzo.Maswali na majibu.
KCMUk 139-40
MWMUk 116-7
DOWNLOADED FROM: www.teachersupdates.co.ke
17
2 1 Sarufi. Umoja na wingi waviambishi awali vyavitenzi.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kuelezea na kufafanua viambishiawali.Kutunga sentensi kutumia viambishiawali vya vitenzi.
Ufafanuzi.Maswali na majibu.Mazoezi.
KCMUk 143-5
MWMUK. 118-9
2-3 Kusoma kwa kina.Fasihi yetu.
Mchezo wa kuigizaII.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kufafanua kiini cha mchezo.Kuwataja na kuwaelezea wahusika.Kueleza ujumbe wa mchezo.Kufafanua maana ya maneno navifungu.
Drama.Uhakiki.Majadiliano.Maswali na majibu.
KCMUk 147-9
MWMUk 120-1
Maleba, vituhalisi, picha,michoro.
4 Kuandika.Ufasaha wa lugha.
Uandishi wakawaida.Muhtasari.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kuwakilisha mambo kwa jedwali,kipimapembe au orodha.Kutoa maelezo kwa njia ya mjazo.Kufasiri mambo yaliyofupishwa.
Maelezo.Mifano.Uchunguzi.Kazi mradi.
MWMUk 119
5 Kuandika.Utunzi.
Utungaji wakiuamilifu.Shajara.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kueleza maana ya shajara.Kueleza umuhimu wa shajara.Kueleza namna ya kuweka shajara.
Utatuzi wa mambo.Mifano.Maelezo.Ufaraguzi.
KCMUk 149-50
MWMUK. 121
3 1 Kusikiliza nakuzungumza.
Nahau. Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kueleza maana ya neno nahau.Kutoa mifno ya nahau.Kutumia nahau katika sentensi.
Mifano.Maelezo.Ufarguzi.
KCMUk 151
MWMUk 121-2
2 Kuandika.Utunzi.
Utungaji wakiuamilifu.Tahadhari.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kueleza umuhimu wa tahadhari.Kueleza namna shairi linatumiwakutoa tahadhari.Kuorodhesha miano ya tahahari.Kufafanua maneno ya tahadhari.
Uvumbuzi.Majadiliano.Maelezo.Kuandika.
KCMUk 151-3
MWMUk. 122-3
DOWNLOADED FROM: www.teachersupdates.co.ke
18
3 3-4 Sarufi. Kauli ya vitenzi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kutaja na kubainisha kaulimbalimbali.Kutoa mifano ya kauli mbalimbali.Kutungs sentensi kwa kutumia kaulimbalimbali.
Uchunguzi.Majaribio.Mifano.Utafiti.
KCMUk 117
MWMUk. 93-94
Kamusi.
5 Kusoma na kundika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kusoma kwa ufasaha.Kueleza maana za maneno na vifungu.Kujibu maswali.
Ufafanuzi.Kusoma.Maswali na majibu.Tajriba.Mazoezi.
KCMUk 156-8
MWMUk 124-6
Kamusi.
4 1-2 Kuandika.Ufasaha wa lugha.
Uandishi wakawaida kiuamilifu.Taarifa ya habari.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kueleza sifa au umuhimu wa taarifaya habari.Kuandika taarifa ya habari.
Maelezo.Utafiti.Maagizo.Kuandika.
KCMU k 159
MWMUk 127-8
3-4 Kusoma kwa kina.Fasihi yetu.
Riwaya. Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kusoma dondoo.Kutaja wahusika na ijumbe.Kujibu maswali.
Majibu na maswlai,Uchunduzi, usomaji,Uchemuzi. Mjandlu.
KCMUk 160-2
MWMUk 128-9
5 Kuandika.Utunzi.
Insha ya maelezo. Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kueleza maana ya insha yamaelezo.
Michezo ya lugha.Kuandika.Mifano.Melezo.
KCMUk 162
MWMUk 128-9
5 1 Kusikiliza nakuzungumza.
Kutuma salamuredioni namagazetini.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kueleza mahitaji ya kutuma yakutuma salamiu dedioni namagazetini.
Maelezo.Maigizo.Ufaragui.
KCMUk 163-4MWMUk 130-1
Redio, magaxetri
DOWNLOADED FROM: www.teachersupdates.co.ke
19
5 2 Kusikiliza nakuzungumza.
Mazungumzo katikakituo cha posta.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kufafanua shughuli zinazotokea posta.Kueleza matumizi ya lugha katikakituo cha posta.Kueleza maendeleo mapya katikateknolojia ya mawasiliano.
Maigizo.Maelezo.Ufafanuzi.Ugunduzi.
KCMUk 165-6
MWMUk. 131-3
3,4 Kusoma na kundika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kusoma kwa ufasaha.Kueleza maana za maneno na vifungu.Kujibu maswali.
Ufafanuzi.Kusoma.Maswali na majibu.Tajriba.Mazoezi.
KCMUk 166-8MWMUk 133-5
Kamusi.
5 Sarufi. Kauli ya vitenzi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kunyambua vitenzi katika kaulizinazozingatiwa.Kutunga sentensi kwa kutumia vitenzikatika kauli tofauti.
Melezo na ufafanuzi.Maswali na majibu.Mazoezi.
KCMUk 168-170
MWMUk 135-7
6 1 Kusikiliza nakudadisi.
Tanakali za sauti. Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kueleza maana ya tanakali za sauti.Kueleza umuhimu wa tanakali zasauti.Kutumia tanakali za sauti katikasentensi.
Ufafanuzi.Mifano.Maelezo.
KCMUk 177
MWMUk. 140-1
2 Kusoma kwa kina.Fasihi yetu.
Riwaya. Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kujibu maswali kutokana na kifungu.Kudondoa maneno yaliyotumiwakifasihi.Kutaja baadhi ya mbinu za kifasihizilizotumiwa.Kueleza maana ya msamiati.
Kusoma kifungu.Maelezo na ufafanuzi.Uchambuzi.
KCMUk 173-5
MWMUk 138-140
Kitabu chariwaya k.v.Nyota yaRehema.
3 Kusikiliza nakuzungumza.
Mahojiano. Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kueleza sifa za mahijiano.Kuendeleza mahojiano.
Mahojiano.Majadiliano.Makundi.Drama.Mifano.
KCMUk 173-5
MWMUk 138-140
DOWNLOADED FROM: www.teachersupdates.co.ke
20
6 4-5 Kusoma na kundika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kusoma kwa ufasaha.Kueleza maana za maneno na vifungu.Kujibu maswali.
Ufafanuzi.Kusoma.Maswali na majibu.Tajriba.Mazoezi.
KCMUk 166-8MWMUk 133-5
Kamusi.
7 1 Sarufi. Vinyume. Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kufafanua muundo wa vinyume.Kutumia vinyume katika sentensi.
Utafiti.Mifano.Kuandika.Kazi mradi.
KCMUk 182-3
MWMUk. 144
2 Sarufi.Ufasaha wa lugha.
Uundaji wamaneno.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kutohoa na kuunda maneno.Kuunda maneno kutokana na manenomengine.
Maelezo.Ufafanuzi.Mifano.Mashindano.Mazoezi.
KCMUk 183-5
MWMUk. 144-6
3-4 Kusoma kwa kina. Hadihi fupi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kueleza sifa za wahusika.Kujadili mbinu zinazojitokeza.
Kusoma.Kuhakiki taarifa.Majadiliano.
Kitabu chadadithi.
5 Kuandika.Utunzi.
Barua rasmi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kueleza muundo wa barua rasmi.Kuandika barua rasmi kwa usahihi.
Ufafanuzi.Majadiliano.Kuandika.
KCMUk 187-8MWMUk. 148-9Barua rasmi.
8 1 Kusikiliza nakuzungumza.
Visawe. Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kutoa mifano ya visawe.Kutumia visawe kutungia sentensi.
Kazi ya makundi.Ufafanuzi.Imla.
KCMUk 189
MWMUk. 149
2 Kusikiliza nakuzungumza.
Drama.Jukwaa la kisiasa.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kuzungumzia hoja fulani za kisiasa.
Kuigiza.Vikundi.Maswali na majibu.Kusoma vifungu.
KCMUk 189
MWMUk. 150-3
DOWNLOADED FROM: www.teachersupdates.co.ke
21
8 3 Kusoma na kundika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kusoma kwa ufasaha.Kueleza maana za maneno na vifungu.Kujibu maswali.
Ufafanuzi.Kusoma.Maswali na majibu.Tajriba.Mazoezi.
KCMUk 190-3MWMUk 153-4
Kamusi.
4-5 Sarufi. Sentensi ambatano. Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kueleza maana ya sentensi za ainanyingi k.v. virai, vishazi, kundi nominona kundi tenzi.Kuunda na kubainisha sentensi.
Uchunguzi.Uvumbuzi.Mifano.Mazoezi.
KCMUk 194-7
MWMUk. 154-5
9 1-2 Kuandika.Ufasaha wa lugha.
Uandishi wakawaida.Muhtasari.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kufafanua maana ya muhtasari.Kueleza matumizi ya muhtasari.
Michezo ya lugha.Mashindano.Mifano.Imla.Kazi mradi.
KCMUk 197-200
MWMUk. 155-6
3-4 Kusikiliza nakuzungumza.
Uandishi wakawaida.Ufupisho.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kufupisha sentensi na vifungu.
Michezo ya lugha.Mashindano.Mifano.Imla.Kazi mradi.
KCMUk 197-200
MWMUk. 155-6
5 Kusikiliza nakudadisi.Fasihi yetu.
Maigizo. Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kueleza na kufafanua vipengelemuhimu vya maigizo.Kueleza madhumuni ya maigizo.
Maigizo.Uchunguzi.Kazi ya makundi.Ufaraguzi.
KCM200-1
MWMUK. 156-7
10 1 Kuandika.Utunzi.
Utungaji wa kisanii.Mchezo wa kuigiza.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kuandika mchezo wa kuigiza.Kuigiza mchezo.
Maigizo.Uchunguzi.Mifano.Ufaraguzi.
KCM 201-2
MWMUK. 157
DOWNLOADED FROM: www.teachersupdates.co.ke
22
2 Kusikiliza nakudadisi.
Kufungu.Utu ni unyama.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kueleza shani katika visa au dondoofulani.Kutoa visa vingine vya kustaajabisha.
Masimulizi.Ufafanuzi.Uchambuzi.Maswali na majibu.Maelezo.
KCM 203
MWMUK.157-9
10 3 Kusikiliza nakuzungumza.
Makala katikamagazeti / majarida.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kueleza sifa za magazeti / majarida.Kueleza umuhimu wa gazeti katikajamii.
Maelezo na ufafanuzi.Mjadala.Utafiti na uchunguzi.Maswali na majibu.
KCM203-5
MWM 159-160
4-5 Kusoma na kundika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kusoma kwa ufasaha.Kueleza maana za maneno na vifungu.Kujibu maswali.
Ufafanuzi.Kusoma.Maswali na majibu.Tajriba.Mazoezi.
KCMUk 205-7MWMUk 160-2
Kamusi.
11 1 Sarufi. Upambanuzi wasenristbi ambatano.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kupambabua sentensi.
Maelezo.Utafiti.Mahojiano.Ukusanyanji.Ufahamu wakusikiliza.Kutafsiri picha.
KCMUk 207-8
MWMUK. 162-4
2 Kusikilza nakuzungumza.
Taharirimagazetini.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kueleza maana ya tahariri ya gazeti.Kufafanua umuhimunwa tahariri yagazeti.
Ufafanuzi.Mjadala.Mifano.Tajriba.
KCMUk 209-10
MWMUk 164-6
DOWNLOADED FROM: www.teachersupdates.co.ke
23
3 Sarufi na matumiziya lugha.
Viambishivimikilishi.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kubainisha maana ya vivumishivimikilishi.Kuorodhesha vivumishi vimikilishi.Kutumia vivumishi vimikilishi katikasentensi.
Maelezo.Tajriba.Mifano.Maswali na majibu.Mazoezi.
KCM20
MWM 159-160
11 4 Kusikiliza nakudadisi.
Ushairi.Mashairi huru.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kufafanua sifa za shairi.Kueleza binu za kisaniizinazopatikana katika shairi huru.Kudondoa hoja zinazoshughulikiwa namshairi.
Maelezo.Ufafanuzi.Uchunguzi.Mifano.Kukariri.
KCMUk 211-2
MWMUk. 166-7
5 Kuandika.Utunzi.
Utungaji wakiuamilifu.Insha ya dayolojia.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunziaweze:Kueleza mtindo wa insha ya dayolojia.Kuandika insha ya dayolojia.
Maelezo.Ufafanuzi.Utendaji.Kuandika.
KCMUk 212
MWMUk 167-8
12-13 MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA